Sijaelewa UDOM kufungiwa udahili wa wanafunzi mwaka huu

DENICE ADRIAN

Senior Member
Feb 14, 2014
127
30
Hivi serikali ina lengo gani kufunga admission ya MD UDOM (SFCUHAS).

Je inataka ipunguze idadi ya madaktar au?
Msaada plz.
 
Labda kuna mapungufu ambayo wanatakiwa kuyafanyia kazi kwanza ndo waruhusiwe kudahili wanafunzi
 
Back
Top Bottom