Sawa Watakutana huko waliko sasakuna wakati mambo kama hayo hayaepukiki ili watu wakae kwenye mstari...kuna wapumbavu wanahitaji unyama ili watambue wanaishi kwenye nchi yenye watu zaidi ya 60m na wote wanahitaji kufaidika na nchi yao..
Sawa Watakutana huko waliko sasakuna wakati mambo kama hayo hayaepukiki ili watu wakae kwenye mstari...kuna wapumbavu wanahitaji unyama ili watambue wanaishi kwenye nchi yenye watu zaidi ya 60m na wote wanahitaji kufaidika na nchi yao..
unaweza kutoa ushahidi usio na shaka yeye ndio aliagiza atandikwe risasi...?
sasa tunafanyaje?acha ubishi, ingia mtaani fanya uchunguzi mwenyewe utapata majibu...watu walimuamini sana JPM na waliamini angeweza kufanya kitu katika nchi hii...sihitaji kubishana na wewe huo ndio ukweli...fanya research kwa watu wakawaida na wachini ambao ndio wengi katika Taifa hili utapata majibu..
Binafsi nilitofautiana na JPM kwenye baadhi ya sera zake lakini kuna mahala niliamini aliuweza hii nchi na angendelea basi uelekeo ungekuwa mzuri...
Ndani ya hii miezi ambayo JPM hayupo tumeshuhudia mengi sana ya hovyo kuanzia watu kushindwa kuwajibika, kushuka kwa nidhamu makazini, watu kuanza kulipana posho na masemina mikoani nk..
Madikitetor huwekeza kwa wanyonge huku waKiwanyonga taratibu KWA propagandaJPM alikuwa ni Rais bora ambaye kuna sehemu muhimu nchi ilimhitaji sana kuliko mapungufu yake ambayo yalisabishw na lack of controll maeneo fulani....
Binafsi nimefanya research juu ya mapenzi ya watu kwa huyu bwana, ukweli uliowazi JPM anaishi kwenye mioyo ya watu wengi saaana..
Ni leo tu usiku huu nimepita moja ya barabara maeneo fulani ambayo naamini ni feeder load, nikasema mbele za watu serikali inapaswa kujenga hii barabara, majibu ya raia ni "dah si kwa serikali hii angekuwepo jembe JPM angetia lami zote hizi"....hiyo ndio response ya raia
Hata serikali hii ikitaka iwe inaaminiwa basi iachane kabisa na kumsema sema yule jamaa aisee, upende na trust ya watu kwa JPM ilikuwa kubwa sana.....
kila kitu kinakwenda kwa mipango, kasi yake ndio ilifanya watu waamini angeweza kuijenga nayo kama angekuwa hai vs hawa wengine...
Haikuwahi pia kutokea siku za karibuni Rais kufa na watu kuwa na majonzi kama ilivyokuwa kwa JPM, haikuwa kutokea Rais kufa na kuzikwa lakini akaishi kwenye mioyo ya watu...sizungumzii ushabiki hii ni hali halisi...
Tuache ushabiki, pita mitaani aanza kufanya research mwenyewe uone majibu yake...
Tundu lissu ndio kiongozi muoga haijawahi tokea katika historia ya siasa za tanzania., na si mfano mzuri wa kiongozi ambaye ataweza kuleta mabadiliko katika nchi., amekuwa akimkosoa Magufulu kupitia twitter, youtube, DW, VOA afrika na the so called BBC na Aljazeera., hakuweza kumkabili magufuli ata kwa nukta., He is the best cowardKiukweli nichukue fursa hii kukiri kuwa Tundu Antipas Lisu ni mwanasiasa mpambanaji wa viwango vya dunia.
Alithubutu kwa ujasiri mkubwa kumshauri na kumkosoa Rais Magufuli wakati wa uhai wake bila uwoga.
Hii ni tofauti na wanasiasa wengine wote wa upinzani ambao walimuogopa sana Magufuli akiwemo Zitto Kabwe ambaye aliogopa kutoka bungeni wakati wabunge wote wa upinzani walipotoka kuwaunga mkono CUF walioonyesha hasira zao kwa maalimu Seif kuporwa ushindi ( tuhuma).
Baada ya Magufuli kutwaliwa ndio Zitto kaanza kumsimanga.
Mwingine ni Nape Nnauye mtoto wa mwanajeshi lakini aliingia Ikulu huku analia na leso ya kujifutia puani mkononi akamshika miguu Rais Magufuli amsamehe kwa kosa la kumsengenya kwenye simu.
Maendeleo hayana vyama!
Huna sifa ya kumjadili Tundu Lissu ni level nyingine. Alikosoa hadi kifo kilitaka kumwondoa kabla ya Muda.Kiukweli nichukue fursa hii kukiri kuwa Tundu Antipas Lisu ni mwanasiasa mpambanaji wa viwango vya dunia.
Alithubutu kwa ujasiri mkubwa kumshauri na kumkosoa Rais Magufuli wakati wa uhai wake bila uwoga.
Hii ni tofauti na wanasiasa wengine wote wa upinzani ambao walimuogopa sana Magufuli akiwemo Zitto Kabwe ambaye aliogopa kutoka bungeni wakati wabunge wote wa upinzani walipotoka kuwaunga mkono CUF walioonyesha hasira zao kwa maalimu Seif kuporwa ushindi ( tuhuma).
Baada ya Magufuli kutwaliwa ndio Zitto kaanza kumsimanga.
Mwingine ni Nape Nnauye mtoto wa mwanajeshi lakini aliingia Ikulu huku analia na leso ya kujifutia puani mkononi akamshika miguu Rais Magufuli amsamehe kwa kosa la kumsengenya kwenye simu.
Maendeleo hayana vyama!
Maelezo meengii....The less someone knows the longer the explanations.Tundu lissu ndio kiongozi muoga haijawahi tokea katika historia ya siasa za tanzania., na si mfano mzuri wa kiongozi ambaye ataweza kuleta mabadiliko katika nchi., amekuwa akimkosoa Magufulu kupitia twitter, youtube, DW, VOA afrika na the so called BBC na Aljazeera., hakuweza kumkabili magufuli ata kwa nukta., He is the best coward
Alipigiwa simu na watu fulani siku ya pili yake akakimbilia ubalozi wa ujerumani kutafuta hifadhi ambayo haikuleta tija yoyote kwa watanzania ambao walizunguka Tanzania nzima kuomba kura kama opposition leader, baada ya matokeo ya uchaguzi hakusema neno lolote kwa wapiga kura wake alirudizake Beligum kupitia ubalozi hata thanks hakutoa kwa watu wake.,
Kuondoka kwake gafla kulileta picha kwamba alirudi tanzania kwa kuja kuusaka urais tu ndio iliyokuwa shida yake na sio wanachama na wapenzi ambao wao wamekuwepo miaka yote kutaka nusura ya kutokana na uongozi ambao waliuita uongozi wa kidhalimu. hakufanya lolote., Waliitisha maandamano na siku ya maandamano hata yeye hakutoka., ni kiongozi wa upinzai aliyefeli katika nyanja zote kisiasa
Awali alisema hatarudi Tanzania mpaka serikali iliyo madarakani impe ulinzi lakini kwa urais hakujali kauli yake hii alikuja tu: Swali ni kwanini alikuja? na sasa asije tena? shida ni ilikuwa ni urais tu.
Pamoja na kurudi Ulaya amekuwa akitumia tools nilizozitaja kumkosoa magufuli na aila zake jambo ambalo halikuleta tija yoyote si watanzania wote hufungua youtube na kumsikiliza tundu lissu anasema nini ni kama vile amewatelekeza wanachama na wapenzi wake wa chadema.
Mfano wa kiongozi wa upinzani ambaye ambaye aliishi na wananchi kwa hali zote na bado hajatokea katika siasa za Tanzania alikuwa ni Maalim Seif peke yake., maalim seif alifungwa jela lakini alipotoka hakukimbia nchi., alitishwa sana mpaka kufikia kutiliwa sumu lakini hakukimbia nchi siku zote alikuwa upande wa wanachama wake na wazanzibari.
Maalim mpaka dakika ya mwisho hakuogopa kuita waandishi wa habari na kutoa dukuduku lake kukosoa serikali zote mbili muda wowote mahali popote, He was a fighter.
Alikuwa na infulence kubwa huko tunakokuita ulaya lakini alirudi Zanzibar kuishi na wazanzibari wakati wote.
Tundu lissu ana mfano wa Mange Kimambi au Kigogo kukosoa kupitia mitandao lakini hakusubutupo kuchomoza pua yake akiwa hapa Tanzania., ni kiongozi aliyefeli kisiasa., ni mwanasheria mzuri na nadhan angebaki katika eneo hilo siku zote otherwise Chadema wafanye wanavyofanya Lissu hawez kuwa mfano wa kiongozi mzuri.,
Bobi Wine na Bassigye wa Uganda licha ya hila na mateso yote bado wamo ndani ya ardhi ya Uganda hakuna aliyekimbia nchi., Tundu Lissu ni kiongozi muoga nchi kama tanzania hutaweza kuongoza kwa youtube., it is a big shame kwa Tundu Lissu ingawa naipenda Chadema
On top of that seniour leader Mbowe ambaye huyu ni mwenyekiti wa chama Taifa sasa yupo jela kwa kile kinachodaiwa kubambikiwa kesi ya ugaidi Tundu Antipas Lissu ana moyo gani huko aliko asije kuungana na wenzake hapa Tanzania kuonyesha angalau kuguswa na huyu mwenyekiti wake au kama ni jela basi waende wote bado amebaki ulaya anatuma clips za youtub zitasaidia nini.
Alitaka aendelee kuwa rais ili aendelee kuficha ukweli. Yule jamaa angekuwa hai sasa hivi tungekuwa Zimbambwe na Rwanda.Watu hao wengi hawafahamu kilicho nyuma ya pazia. Amemuachia mrithi wake mlima mkubwa wa madeni
huna hoja., weaknesses za tundu lissu ziko wazi sana., polen snMaelezo meengii....The less someone knows the longer the explanations.
Umeandika Utopolo.
Tundu Lissu is Ubeatable hata kama humpendi.
Madikiteta hampendi ukweli.huna hoja., weaknesses za tundu lissu ziko wazi sana., polen sn
Kwanza semina na kulipana posho sio dhambi hizo ni pesa zinarudi kwenye mzunguko hadi mtu wa chini zinamfikia,, barmaid, mchoma chips, muuza nyanya, butcher etc, hiyo ndo consumerism na inasisimua uchumi na hivyo kuongeza uzalishaji,acha ubishi, ingia mtaani fanya uchunguzi mwenyewe utapata majibu...watu walimuamini sana JPM na waliamini angeweza kufanya kitu katika nchi hii...sihitaji kubishana na wewe huo ndio ukweli...fanya research kwa watu wakawaida na wachini ambao ndio wengi katika Taifa hili utapata majibu..
Binafsi nilitofautiana na JPM kwenye baadhi ya sera zake lakini kuna mahala niliamini aliuweza hii nchi na angendelea basi uelekeo ungekuwa mzuri...
Ndani ya hii miezi ambayo JPM hayupo tumeshuhudia mengi sana ya hovyo kuanzia watu kushindwa kuwajibika, kushuka kwa nidhamu makazini, watu kuanza kulipana posho na masemina mikoani nk..
Basi tumjadili meku Lema!Huna sifa ya kumjadili Tundu Lissu ni level nyingine. Alikosoa hadi kifo kilitaka kumwondoa kabla ya Muda.
😄😄😄Basi tumjadili meku Lema!
Mi nionavyo Lisu ni mzuri, shida ni extreme tu kama JPM,huna hoja., weaknesses za tundu lissu ziko wazi sana., polen sn
Uko sahihi kabisa mkuu,zito ni mmoja wa wanasiasa waliyemkosoa Magufuli waziwazi na bila uogaAcha unafiki wewe.
Zitto ndiye aliyeongoza Jahazi la kumkosoa Magufuli kipindi Lissu yuko hospitali.
Zitto ndiye aliyemwambia Magufuli wazi kuwa awe makini maana akizuia uhuru wa watu kusema na kuibana demokrasia, watu wanaweza kutafuta njia ya kumtoa ikiwemo mapinduzi
Zitto ndiye aliyeongoza chambuzi nyingi za kukosoa mwenendo wa kiuchumi wa Magufuli, kumbuka chambuzi za ripoti za CAG
Zitto ndiye aliyeibua hoja ya Trillion 1.5, ishu iliyoiyumbisha sana serikali ya Magufuli
Zitto ndiye aliyeibua taarifa kuwa zaidi ya wananchi 400 wameuawa nadhani ni Kigoma au Kibiti
Zitto alifanya kazi nzuri sana ya kuushika mashati utawala wa Magufuli enzi hizo Lissu yuko hospitali
Ccm haijaanza jana wala juzi kuiba kura na kila mtu anajua ila bado watu mlikuwa mnaenda kupiga kura kila inapofika uchaguzi, sasa hapo kilichobadilika ni baada watu kuona hata hao mbadala wa ccm nao hawana tofauti na ccm.Watu wengi wameshaamka ndio maana baada ya kuona box la kura linanajisiwa hawajitokezi tena kupiga kura. Hii idadi ndogo inayojitokeza kwenye vituo vya kura, ni baada ya wananchi kuichoka CCM, ila tume ya uchaguzi na vyombo vya dola vina ushirikiano wa kihalifu kwenye kuchakachua matakwa yao.
Ccm imewatawala hadi leo na haitaki kuachia madaraka hata huyo Magufuli kapitia humo humo, hao watu wangekuwa na akili basi hasira zao wangezielekeza kwa ccm maana ndio chanzo cha yote ila sio huku ccm damudamu halafu et umejijaza chuki kwa Magufuli.Walimchukia kwa kulazimisha kuwatawala kwa shuruti.
Hao wawili wanafanana upande huo ni basi tu mmoja alikuwa na power na mwengine hana.Waliokuwa sawa kisaikolojia ni walioagiza ashambuliwe kwa risasi? Yeye ana hasira kwa mwendakuzimu kuagiza ashambuliwe kwa risasi ili kumuua. Sasa ulitaka akae kimya bila kumshambulia aliyedhamiria kumuua?