falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,287
jamani mnisaidie sababu za air tanzania au maarufu kama pangaboi kutofika kaskazin haswa arusha
hatukuchagua ccmHaiwezi kuja huko! kwani Arusha mliichagua ccm?
kivipi dogoArusha hawakutupa kura zakutosha.
Halafu hii habari ina uchochezi
serikali ya awamu ipi kwani arusha wanaishi wanyamaNyie watu wa Arusha huwa hamtumii pangaboi, Subirini awamu ijayo atawaletea Antonov An-124
njiro umeme umeingia hivi karibuniMkuu umeme tuu wa tanesco hampati inavyostahili, kuna dogo wangu yuko makumira anadai wana siku kadhaa hawapati sembuse panga boi za mkuu wetu, watu wa R mtakosa vipaumbele vingi sana mpaka 2020 mtakachokifanya mnakijua wenyewe
Madam shikamoo sanaMlimchagua?
Loooh awamu hiiMlimchagua?
Chadema zonejamani mnisaidie sababu za air tanzania au maarufu kama pangaboi kutofika kaskazin haswa arusha
Mkuu unachoshangaa nini hapo?Inakuwaje mwanza one way ni 180,000/= halafu round trip nayo iwe 360,000????
Round trip lazima iwe cheap kidogo, jaribu kufuatilia hapo juu...wasafiri wa anga wanalijua hili...ilipaswa iwe angalau 320,000 badala ya 360,000Mkuu unachoshangaa nini hapo?
swali la kukatisha tamaaMlimchagua?