Sijaelewa hapa kwenye requirements za TCU na Mzumbe, naomba kueleweshwa

Wasikutishe Mdg angu niko Mzumbe, kutusua ukiwa serious ni uhakika karibu sana omba hata HR Ila kuna hesabu Kama baf au BBA ukikaza kuchomoka na first class uhakika ila inatakiwa kujituma hasa msuli wa a level ni mara tano yake
Asante kaka kwa kunitia moyo
 
Una C ya hesabu olevo alafu ukaenda kusoma HKL? (Ungekua mdogo wangu ningekulamba makofi).

Pamoja na two yako ila utashangaa wanachukua mtu mwenye 3 ya hge au egm alafu wewe ukaachwa.

Unaeza kuwa na minimum requirements so Nenda kaaply ila kuna possibility ukakosa kwasababu ya ushindani.

Ukikosa apply ardhi au muccobs viko vizuri sana na vyenyewe kwenye acc.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app

umenena Muccobs always is the best ever kwenye account na procurement hta kwenye mitihani ya bodi ile ya NBAA na PSTPB huwa chuo kinapata cheti na award kila mwaka tofautisha na hwa kina Mzumbe UDSM IFM Saut Udom hwa wamebaki jina tu.
 
Wasikutishe Mdg angu niko Mzumbe, kutusua ukiwa serious ni uhakika karibu sana omba hata HR Ila kuna hesabu Kama baf au BBA ukikaza kuchomoka na first class uhakika ila inatakiwa kujituma hasa msuli wa a level ni mara tano yake
yaan hesabu ya Baf au Bba ifanane na Bhrm??
Qms 100 na Qms 102 zinafanana kweli we jamaa. Embu kama huna taarifa tulia tu usimpotoshe dogo, tena usije ukamwambia hata ile introductory account ya huko Bhrm na Baf ni sawa.
 
Dogo kama unataka kusoma hiyo course tulia kwanza tafuta watu wa career hiyo wakupe A, B, C.
Ukikosa nambie nikupe namba za Graduates wa hiyo BAF na course nyinginezo za huko SOB
Me nimemaliza mwaka huu Mzumbe na bado nipo viunga hivi I'm speaking experience not references.
 
Kaka naomba namba zao wanipe A B C kiukweli naipenda hii kozi vibaya mno
 
0652504116. anaitwa Costanstine , mpigie jitambulishe vizuri mueleze haja yako. Ni mtu poa sana atakusaidia jamaa kamaliza BAF.
Lakini pia kama hautaridhika nikuunganishe na watu wanatoa ushauri bure kabisa kuhusu careers mbalimbali wapo Mzumbe kampasi zote.
 
yaan hesabu ya Baf au Bba ifanane na Bhrm??
Qms 100 na Qms 102 zinafanana kweli we jamaa. Embu kama huna taarifa tulia tu usimpotoshe dogo, tena usije ukamwambia hata ile introductory account ya huko Bhrm na Baf ni sawa.
Mkuu Acha mbwembwe vitu vinasomwa vile vile, sema watu wa baf na BBA mnajikuta sana, nimekaa na watu wa izo kozi material ni the same.
 
Back
Top Bottom