Siioni nafasi ya Lukuvi au mwingine aliyeachwa kwenye Baraza la Mawaziri kuwa Spika wa Bunge

Hao wanazimwa kisiasa, hawataonekana mpaka 2030, wako chini ya uangalizi wa ikulu, hiyo kuwapa kazi ingine ni geresha tu, lakini wamewekwa "detention"kisiasa.
Sahihi, naona kampiga na pini asigombee u spika jamaa anachekelea tu
 
Kumbe nilikuwa sahihi!!Lukuvi ana kazi naye nyingine, na prof majalala!!hahaaa kumbe ule ulikuwa ni mkwala tu ina maana alimanisha waitara na mkumbo ndio wanajiandaa kugombea 2025!!??
Nchi imepatwa tena, tuna kiongozi mwenye siasa za makundi na mizengwe, kama enzi hizo za JK; ambako kulikuwa na kundi la JK (now days Msoga gang) vs kundi la Lowasa, na wengineo

Hazungumzi uhalisia, na anatenda kinyumenyume
 
Ila 2025, ndani ya CCM, badamu batamwagika!!tatizo letu ni katiba tu, ila kungekuwa na katiba nzuri uchaguzi huo ungekuwa mzuri sana kwa upinzani!
Nyani ni mpya ila msitu ni ule ule tu!!!
 
Back
Top Bottom