SIIELEWI SECTION 7 (1) YA ACT NO 6 2004 (ELRA)NAOMBA UFAFAnUZI

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180

WADAU NISAIDIENI HII SECTION INANITAKA MIMI KAMA MWAJIRI NIANDIKE NA NIREJISTE PLAN YA KUPROMOTE EQUAL OPPORTUNITY SIJAIELEWA KABISA NAOMBA UFAFANUZI WENU,NA KAMA YUPO ALIYEANDIKA THAT PLAN NA KUIPELEKA LABOUR NAOMBA ANIPATIE NIDESE

NATANGULIZA SHUKRANI

Sub-Part C:Discrimination

7.-(1) Everyemployer shall ensure that he promotes an equal opportunity in employment andstrives to eliminate discrimination in any employment policy or practice.
(2) An employer s hall register, with t he LabourCommissioner, a plan to promote equal opportunity and to eliminatediscrimination in the work place.
(3) The Labour Commissioner may require an employer-
(a) to develop a plan prescribed in subsection (2); and
(b) to register the plan with the Commissioner.
 
LETA HELA UELEWESHWE,UMEZOEA JF NI PA BURE HEE SIKU HIZI NI HELA MAMA KAMA HUNA HELA LALA MBELe
 
Leta mapesa mama,watu wametaabika ba law school halafu unataka bure? katika sheria kuna kitu ianitwa ''nothing should go for nothing''
 
WADAU NISAIDIENI HII SECTION INANITAKA MIMI KAMA MWAJIRI NIANDIKE NA NIREJISTE PLAN YA KUPROMOTE EQUAL OPPORTUNITY SIJAIELEWA KABISA NAOMBA UFAFANUZI WENU,NA KAMA YUPO ALIYEANDIKA THAT PLAN NA KUIPELEKA LABOUR NAOMBA ANIPATIE NIDESE

NATANGULIZA SHUKRANI

Sub-Part C:Discrimination

7.-(1) Everyemployer shall ensure that he promotes an equal opportunity in employment andstrives to eliminate discrimination in any employment policy or practice.
(2) An employer s hall register, with t he LabourCommissioner, a plan to promote equal opportunity and to eliminatediscrimination in the work place.
(3) The Labour Commissioner may require an employer-
(a) to develop a plan prescribed in subsection (2); and
(b) to register the plan with the Commissioner.
kila mwajiri anatakiwa kutotoa upendeleo wowote katika sekta yake
katika kutoa ajira
katika kupandisha madaraja
katika kuongeza mishahara nk
wafanyakazi wako uwatendee sawa bila ubaguzi wowote wa jinsia au imani za kidini.
unapaswa kuwa na polisi ya namna hiyo katika sekta yako na uipeleke kwa kaminshana kazi ukionyesha namna
unavowatendea wafanyakazi wako katika eneo hilo kuanzia ajira,unavowapandisha vyeo bila ubaguzi nk
formati ya hiyo polisi sina cheki na watu wa utumishi
subsection 3 haina tofauti na na 2 hapo juu kwani ameshakuambia its mandatory kuwa na sera ya namna hiyo na uipeleke kwa kamishna wa kazi.
ili kuelewa vema kifungu hicho soma na vinginevyo kwenye hiyo sheria
kifungu hiki kimewekwa ili kuwabana waajiri wanaotoa upendeleo katika sekta zao za kazi ili kuweka usawa.
wengine wataongezea kwani hiki kipengele kinaweza kutafsiriwa zaidi ya hapo,
the said section can be further construed

SIKUDAI CHOCHOTE NAJUA UNAJIANDAA KWENDA MOSHI KUTAMBIKA XMASS. SHIMBONI MINJA
 
Cant trace the problem for sure what should we help u translation ib swahili or interpretation in legal way!! Siku nyingine uwe muwazi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom