Sihitaji kura zenu za masharti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sihitaji kura zenu za masharti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elli, Aug 23, 2010.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi tena kusikia kuwa Kiranja Mkuu kakumbushia umma kuwa hahitaji kura zetu....nadhani kuna watu wamemuomba wampe kura, sasa yeye kasisitiza jana mwanza kuwa hahitaji kura zetu za "masharti".

  Ninavyoelewa mimi kura ni mkataba, na makataba ni masharti ya mapatano,...nakuchagua ili ufanye hivi.... sasa kama yeye hataki mapatano wala hataki za masharti, anataka zipi tena??
  A: Za wizi
  B: Za Maruhani
  C: Za Dhuluma
  D: Za uongo

  .....endelea kutaja zako
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  E. Za kuchakachua
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  ehee, umepata..endeleea
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwenye ile picha ya JK na kura za wafanyakazi aibandike hapa
   
Loading...