Sihitaji kura za wafanyakazi (T-shirt Ziko Mitaaani)

Kuna makosa kidogo. La muhimu siyo picha. ila la muhimu ni MANENO.

Inabidi uyafanye yawe makubwa zaidi. Nitumie link ya hiyo picha na ntawapatia vijana hapa waibalance vizuri ili kuwe na uwiano yaani maneno yawe walau 1/3 ya ukubwa wa picha.
Sawa mkuu naimani kuna watu wanayajua haya maswala zaidi yangu mi nilileta rough idea...wakiiweka vizuri picha na maneno vinaendana...kwa maana kwamba jamaa kashika kichwa kuonyesha hajui umaskini wa watanzania unaletwa na nini... link ya picha hizi hapa

kikwete1.jpg (image)

http://2.bp.blogspot.com/_qoN-WXqQXBQ/TA2ch_EHHtI/AAAAAAAADxI/rP8255OQdgA/s400/kikwete-kachoka.jpg
 
MawazoMatatu,
Ndiyo maana nimaseka kuna makosa kidogo na labda niongese "kidogo sana" ili ilete maana yangu hasa. Yale maneno yangelikuwa makubwa basi ilikuwa inatosha. La muhimu si picha ila maneno. Vijana hapa wameifanyia kazi na kuja na wazo la kwako ila muonekano kidogo tofauti. Unaonaje kwa muonekano huu?
attachment.php

Attachments

  • Kik Thinking.jpg
    Kik Thinking.jpg
    47.7 KB · Views: 1,743
MawazoMatatu,
Ndiyo maana nimaseka kuna makosa kidogo na labda niongese "kidogo sana" ili ilete maana yangu hasa. Yale maneno yangelikuwa makubwa basi ilikuwa inatosha. La muhimu si picha ila maneno. Vijana hapa wameifanyia kazi na kuja na wazo la kwako ila muonekano kidogo tofauti. Unaonaje kwa muonekano huu?
attachment.php

Mkuu hii imetulia hata rangi ya T-shirt nimeipenda safi sana.... Kwasasa tuanze mchakato wa kuzichapisha..! imetulia..!:A S 8:
 
Back
Top Bottom