Sigombei Urais 2015,nitamuunga mkono Mgombea wa CHADEMA-ZITTO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sigombei Urais 2015,nitamuunga mkono Mgombea wa CHADEMA-ZITTO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jan 16, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Zito amesema kuwa hana nia ya kugombea urais 2015 ila atamuunga mkono mgombea yeyote wa CHADEMA,
  pamoja na hayo amelishambulia gazet la MAJIRA kwa habari iliyoliandika jana juu ya cheche za kugombea urais
  sosi:fb
   
 2. t

  tenende JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huu ni msimamo mzuri. Unganisheni nguvu ndani ya CDM ili muongoze harakati toka kwa wakoloni weusi.
  OGINGA: Not yet UHURU!
   
 3. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Yah.. thats good move...magazeti yanayomchafua Zitto yanajulikana siku nyingi by the way hiyo 2015 ZITTO atakua eligible kugombea? jibu hapana kwa maana ya umri so ukanjanja wa kumchafua Zitto unatoka wapi? kama ipo ipo tu... ni muda kwa wana CDM kujipanga kwani huu ndo muda wa CCM kuua upinzani tunakoelekea kwenye uchaguzi 2015...ata wale wajinga waliokua wamezoea kucheza nyimbo za KOMBA ugumu wa maisha kwao ndo balaa kwani tafiti zinaonyesha wengi wao elimu ni F....CCM kwa sasa ni kichefuchefu wamebeep kwa kupandisha umeme kwa 40% bado sie tupo kimya mbona NIGERIA wameweza?
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Kp t up zitto, bravo cdm" maneno ya zitto ni salam tosha kwa ccm na wanafiki wote wanaopenda kuona migogoro inatokea cdm kama hali ilivyo kwenye vyama vingine vya siasa.
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  majira na kazi ya uhuru, siasa maji taka, waambia muda wa kampeni badoooo
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Ni mawazo yako 2 na wala sishangai kuona mawazo kama yako bkoz kwa utafiti wa kisayansi ulofanywa na wanamageuzi umebaini kwamba Nowdeis kuna wa2 kama ww wenye mawazo sawa na ya kuku. Big up Zitto nd VIVA CDM.
   
 7. u

  ureni JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2015
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  safi sana
   
 8. the boss13

  the boss13 JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2015
  Joined: Apr 15, 2013
  Messages: 400
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  tuwekeeen hiyo habari.apa
   
 9. BIGURUBE

  BIGURUBE JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2015
  Joined: Mar 11, 2014
  Messages: 5,932
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Hii habari ni ya tarehe 17/01/2012, kwa sasa ina miaka mitatu. Not valid anymore.
   
 10. pixel

  pixel JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2015
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 1,628
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mimi ningekua mshauri wa zito,ningemsihi avute subira ili waijenge CDM zaidi na UKAWA.umri wake unampa access ya kugombea urais hawa wazee wanazeeka soon wanamuachia chama.Zito ni mpinzani wa damu na anastahili kuwa cdm tu,asiwe rafiki wa ccm!maana ccm ina taswira mbaya kwa wananchi.Bifu iliyopo kati ya ccm na wananchi ni nzito,stay away from ccm ZITO!
   
 11. M

  Mwaipaja ima JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2015
  Joined: Oct 30, 2014
  Messages: 405
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Atakuwa ameamua maamuzi mazuri,asijaribu kufikiria kuasi,kujaribu kuasi,wala kuasi kundi lenye lengo moja ambalo lengo lake kuuondoa utawla wa kidhalimu uliopo,endapo atakili kwa kinywa chake na kula kiapo, atapaswa asamehewe vinginevyo mhhhh!!!!!. Kwa jinsi alivyo zitto chama ambacho unafanana nacho ni chadema tuuu, chama kingine chochote uwiano wa kuendana hauleti majibu.
   
Loading...