Sights and Sound - Government Car in Action

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Picture004.jpg


GARI la Serikali aina ya Nissani Patrol lenye namba za usajili STK 4970, jana jioni lilinaswa na mpiga picha wetu eneo la Msamvu mkoani Morogoro likiwa na tenga la kuku juu ya tairi la akiba likielekea jijini Dar es salaam. Kuku hao walikuwa wakirukaruka[Source: gbtl]
 
Mhh huyu mleta mada atakuwa mwanaharakati wa kutetea hakiza wanyama na viumbe wenye mabawa.
teh teh teh
 
Naona hamjamuelewa mtoa mada.

PETA (People for Ethical Treatment of Animals) imefika bongo, wabongo hawajui concept nzima ya PETA.

Lakini I gotta back up on that wabongo hawaelewi, nakumbuka shule ya msingi kwenye kitabu cha Kiswahili kulikuwa na story moja ya mtoto aliyetumwa kununua kuku, akawabeba kuku kichwa chini miguu juu ikawa noma.

Any old schoolers wanaokumbuka hii story? Them eighties babies na vidingi sana hawawezi kuijua hii kwani ilikuwa katika vitabu vya Kiswahili in the 1980's.

Sasa mimi nafikiri mtoa maada anatuonyesha a kinda similar scenario.
 
Back
Top Bottom