Sigara - Siku ya kuacha kuvuta sigara duniani

Engineer Mohamed

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Messages
461
Points
0

Engineer Mohamed

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2007
461 0
wakuu leo ni siku ya kuacha kuvuta sigara duniani.nakuombeni wote wenye tabia hii ya kuvuta tafadhalini muache hii tabia ya kuvuta sigara.sigara ina madhara mengi ktk afya zetu.
tumewashikia bango sana mafisadi,lakini imefika kipindi tujali afya zetu,
NAOMBA SOTE TUACHE KUVUTA SIGARA.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
44,209
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
44,209 2,000
Ukiwataja Kwa Majina Hivi Sidhani Kama Wataacha ...haya Polen Tena Mwkj Na Inv..ila Natumaini Siku Ya Wote Hii
 
Zero

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
301
Points
0

Zero

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
301 0
Hoja ya kuacha kuvuta sigara ni nzuri lakini sidhani kama ni busara kuanza kutajana majina humu ndani. Reaction ya watu ni kwamba sio kitendo kizuri, ndio maana hata waliotajwa wamereact vibaya. Cha msingi ni kufikisha ujumbe kwamba watu waache kuvuta sigara maana uvutaji wa sigara una madhara makubwa katika afya ya binadamu. Uvutaji wa sigara unawaathiri hata wale waliokaribu yako na wale wote uwapendao.

Kama unafahamu so and so anavuta sigara, watafute for private counseling na sio kutangaza humu.
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,884
Points
2,000

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,884 2,000
huwa siamini kuwa kuna watu wanataka kuifedhehesha na kuishushia hadhi JF lakini katika hili nadhani wapo.. haingii akilini. grrrrrrrrrrr jamani si muweke hata kwenye utani n.k ..
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,594
Points
2,000

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,594 2,000
Jamani ni lini dunia hii tutaamua kuacha unafiki? Siku ya kuacha kuvuta sigara sio solution ya uvutaji sigara duniani. Mbona hakuna siku ya kuacha kuvuta bangi au kutumia cocain?
Kama tumekubaliana kuwa sigara ina madhara kwenye jamii na tumeamua kuipiga vita kweli, there is more we can do than to announce days.
 
Zero

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
301
Points
0

Zero

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
301 0
Jamani ni lini dunia hii tutaamua kuacha unafiki? Siku ya kuacha kuvuta sigara sio solution ya uvutaji sigara duniani. Mbona hakuna siku ya kuacha kuvuta bangi au kutumia cocain?
Kama tumekubaliana kuwa sigara ina madhara kwenye jamii na tumeamua kuipiga vita kweli, there is more we can do than to announce days.
Why do we shut down all the cigarette manufacturing industries? Then tuchome moto mashamba yote ya tumbaku kama polisi wanavyofanya kwenye mashamba ya bangi? Mimi nadhani hii ndio itakuwa vita ya kweli.
 
Jamco_Za

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Messages
1,333
Points
1,225

Jamco_Za

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2007
1,333 1,225
Panya akitaka kukung'ata anapuliza kwanza ili usisikie maumivu, mbu akitaka kunyonya damu anatoa mate na kulainisha ngozi ili usikikie maumivu, uchumi wa ulimwengu bado unategemea mchango kutoka kwa wavutaji kwahiyo hakuna jinsi ambayo ufungaji wa viwanda utafanyika bali wataendelea kupiga kelele za kinafiki tu wacheni kuvuta sigara wakati hawachukui hatua madhubuti kuzuia uvutaji.

UK watoto 250,000 kati ya miaka 12 na 16 wanaanza kuvuta sigara kila mwaka, hawa ni wenzetu wenye kuweka data zao sahihi je watanzania wangapi waanza kuvuta sigara kila mwaka na wana umri gani? watu wangapi wanakufa kila mwaka kutokana na magonjwa yanayosababishwa na kuvuta sigara? je wasiovuta wanaothirika na uvutaji wa wengine wanalindwa vipi?
 
Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Points
1,225

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 1,225
wakuu leo ni siku ya kuacha kuvuta sigara duniani.nakuombeni wote wenye tabia hii ya kuvuta tafadhalini muache hii tabia ya kuvuta sigara.sigara ina madhara mengi ktk afya zetu.
tumewashikia bango sana mafisadi,lakini imefika kipindi tujali afya zetu,
NAOMBA SOTE TUACHE KUVUTA SIGARA.
Acheni NGONO kwanza, tuacheni wengine na sigara zetu. Kwa sigara nitakufa japo na miaka 50 lakini ngono, mdudu unakuondoa hapo hapo Kwi kwi kwi!!!!

Nikiacha sigara nitaanza kukimbilia kwenye vingine na huko balaa tupu, afadhali niendelee na zimwi nilijualo.
 
Kibunango

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2006
Messages
7,744
Points
1,500

Kibunango

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2006
7,744 1,500
Acheni NGONO kwanza, tuacheni wengine na sigara zetu. Kwa sigara nitakufa japo na miaka 50 lakini ngono, mdudu unakuondoa hapo hapo Kwi kwi kwi!!!!

Nikiacha sigara nitaanza kukimbilia kwenye vingine na huko balaa tupu, afadhali niendelee na zimwi nilijualo.
Baaab Kubwa...
huwa napata shida sana napokuwa sina fegi ya asubuhi...:D
 
Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Messages
3,586
Points
0

Icadon

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2007
3,586 0
Labda tuwe na siku ya kutokuingia JF... kama njia ya kupunguza matumizi ya umeme..
Unataka wadau wakuijie juu?

Kweli you learn something new everyday...sijawahi kisikia hii siku ndio leo mara ya kwanza but again mimi si mvutaji kuna siku ya kuacha kunywa pombe kupindukia?(msinishambulie sio mnywaji vile vile)...
Ushauri kwa wale mlioko addicted na sigara anzeni kutafuna chewing gum zenye ladha ya tumbaku uku mkipunguza kuvuta sigara taratibu.
 
Forum statistics

Threads 1,392,829
Members 528,722
Posts 34,119,051
Top