Sigara inavyozidi kupoteza Wavutaji...(Some No: Facts) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sigara inavyozidi kupoteza Wavutaji...(Some No: Facts)

Discussion in 'JF Doctor' started by Kibunango, Jul 2, 2009.

 1. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Smoking By Numbers
  • 80% of men who smoked, 1948
  • 25% of men who smoked, 2005
  • 48% of women who smoked, 1966
  • 23% of women who smoked, 2005
  • 10m number of smokers, 2007
  • 14 cigarettes smoked each day by an average smoker
  • £3.35 morden equivalent price of 20 cigarettes, 1950
  • £4.10 tax on 20 cigarettes, 2007
  • £ 9.5bn profit to Treasury from tobacco taxes, 2006
  • £ 3.5bn drinks trade estimate of possible cost of smoking ban to pubs
  • 39,200 workers in tobacco industry , 1980
  • 7,000 workers in tobacco industry, 2007
  • 6m Cancer Research charity estimate of numbers of deaths linked to smoking over the past 50 years.


   Stadi hii ilifanyika huko Uingereza na kuripotiwa kwa mara ya kwanza na gazeti la Daily Mail July 2007
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Friend of mine Kibunango, Ningefurahi sana kama wavutaji wote wa sigara wangeacha kuvuta. Kama kuna vitu vinanikera huku duniani basi sigara na uvutaji wa sigara ndio kitu cha kwanza.
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ukiangalia vema hiyo posti, hapana shaka uvutaji wa sigara unapungua kwa kasi, hata hivyo kwa upande wangu bado ninafight kuacha tabia hii ya kuvuta sigara.

  Ni zaidi ya miaka 20 nimekuwa navuta sigara na nimejaribu mara kadhaa kuachana na tabia hii bila mafanikio. Pengine kupitia hapa JF naweza kupata suluhisho la njia rahisi kabisa ya kuachana na tabia hii yenye kuharibu afya na kusababisha kifo.
   
Loading...