sifa zote unazo ila wewe ni mwanaume. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sifa zote unazo ila wewe ni mwanaume.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by paul p raia, Nov 14, 2010.

 1. p

  paul p raia Member

  #1
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mzee makamba anasema lengo la kumpendekeza mwanamke kuwa spika ni ili kuwapa wanawake nafasi kwenye uongozi wa nchi.Mimi si bishi kuwa wakinamama wanahaki ya kupewa fursa za uongozi na wao kulete mchango wao kwa nchi hii.Mimi na mwangalia Mzee Sita ambaye mimi nadhani kwa kizazi chetu ataendelea kuwa "Nyerere w Bunge"na rejea ya bunge la viwango kwa miaka mingi ijayo,lakini pia itakuwa inakumbukwa daima kuwa Mzee huyu kwa kuwa mwanaume alipoteza sifa ya kuteuliwa na chama kogombea kwa kipindi cha pili.UNASIFA ZOTE ILA TATIZO WEWE NI MWANAUME.Makambaaaaaa...
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ninavyofahamu maana ya ubaguzi wa jinsia ni hali ile ya kumpa mtu upendeleo wa kupewa nafasi fulani kwa sababu ya jinsia yake au kunyimwa nafasi kwa sababu ya jinsia. Hili la Makamba/CCM tuliweke upande gani? kama mwanaume anafaa akinyimwa nafasi eti kwa sababu wanawake wapewe nafasi siyo ubaguzi. Je, tunapomtafuta mtu kwa ajili ya nafasi ya uongozi kinachotangulia siyo sifa alizonazo? Mbona vitu hivi vinafanyika bila kutumia akili?
   
 3. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  teacher.jpg
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  haya mambo yalianza kitambo tunayaangalia tu............ hizi affirmative policies mbona ni za siku nyingi?............ au wanaharakati wa masuala ya wanawake waliwafunika msiweze kufurukuta? ..... au mlibaki kimya tu ndio sasa mnaibuka kulalamika kwa suala la mh. sita?........... tujifunze kukosoa sera na mpango siyo tusubiri sera ,mipango na sheria mbalimbali zinapita kisha zinapotekelezwa ndo tunalalamika............
   
 5. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwa ccm demokrasia haipo na haitakuwepo, MAKAMBA MWENZIO AKINYOLEWA CHAKO KICHWA TIA MAJI; NAONA WAKATI HUU BAADA YA MAKAMBA KUCHEMSHA MARA KWA MARA NA KUJIKWAA KATIKA CHEO ALICHO NACHO CHA UKATIBU MKUU WA CCM,IMEEIKA WAKATI NAE ATOE NAFASI HIYO KWA MWANAMKE,NAMPENDEKEZA ANNE KILANGO MALECCELA AWE KATIBU MKUU WA CCM ILI KUONDOA MFUMO DUME ULIOPO KATIKA SAFU YA UONGOZI WA CCM.mwenyekiti ni kanali jk,naibu mwenyekiti ni pius msekwa,katibu mkuu yusufu makamba,katibu mwenezi john chiligati,katibu mipango na propaganda abrahamani kinana,wengine nilio wasahahau nisaidieni kuwaorodhesha hapa HILI MAKAMBA HALIONI,CCM NI KAMA KABURI LILILO PAKWA CHOKAA NNJE LAKINI NDANI LINAMUOZO
   
 6. M

  Mutu JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Basi na ukatibu mKUU ccm AWE MWANAMKE MWAKA HUU ,KAMA MAKAMBA WA KIKE WAMWACHIE AENDELEE TEHE TEHE TEHE
   
 7. M

  Mutu JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ahaaaaaa nina mawazo kama yako
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Jamani tusimsakame sana Makamba kwani mwenye uamuzi wa mwisho ni mwenyekiti, JK. Na wangelisema hilo mapema hili Sitta akafanye plastic surgery ili tuendelee kuwa nae. Inakuwaje sex (male/ female) na wala sio jinsia hapa kuwa kigezo katika uongozi bora?
   
 9. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kwa hakika huu ni ubaguzi wa dhahiri. Ilitakiwa tushindanishe sifa za kuwa spika na siyo jinsia. Mhe Sitta alifanyiwa ubaguzi wa kijinsia.
   
Loading...