Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Kuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi;
1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine.
2.Hupenda kulalamika tuu.
3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao ila za kwao hupenda ushirikiano asaidiwe.
4.Hawapendi kukosolewa ila wanapenda kuwakosoa wengine
5.Ni wagumu kutoa pesa zao kumsaidia mtu asiye na faida naye ila wao wakiwa na shida huomba msaada kwa watu ambao hawana faida nao.
Hawa ni watu wenye roho mbaya, haya ongezea zingine.