Sifa za wanaume weupe

sio kweli...angalia wanaojichubua weusi na weupe wapi wanaojichubua zaidi? katk 10 utakutana na weupe wanajichubua wa 3 ila weusi utakutana nao 7 wanajichubua
Kiukweli...
weupe wengi wanaume wanachiongezea sana.Ile sifa ya kuitwa white...ndio sababu.... utakuta mtu ni.maji ya kunde tu lkn atamaliza vikopo ili awe white!
 
Ameanza kuleta racism, tumpinge tu
Kasumba...hizo...
dume zima eti mi mweupe yule mweusi..m dah!
Mbona ni kawaida tu... tatizo ni kwa kuwa huko kwao wapo wachache sana!
Ila pwani huku..wengi ni cosmopolitan.. ..na hakuna upuuzi huu!
 
Mimi ni mweupe ila mbona umesifia sana mimi kila dem nikimuulizaga anapenda mwanaume wa aina gani anasema mweusi..

ila hapo kwenye kutongoza ni kweli.. Siwezi tongoza demu mara mbili mimi.. Asiponielewa mara moja napita speed...
Madem ni viumbe wanafiki sana anaweza sema anapenda mweusi halafu akimuona hemed PhD kwenye tv anapagawa
 
13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.


ITAENDELEA.........
21. Wengi ni mapunga.
 
Mtengewe bara lenu mkakae hukooo mnatuchafulia mudi
Du naona bado unacheza na gia ileile.mi white na mm huwa nawakubali black beauty.sema wanatoweka kwa kasi.Ila legeza kidogo weupe umetuweka kwenye group kama la viumbe wengine tofauti na binadamu
 
Nimechezea uchi wa chui wamefura haooo ila msema kweli ni mpenzi wa Mungu
..mie km@Shunie napenda sura chachu best...hahaha...wazuri wakujilamba lips nawapeleka wap.jaman.kapeace...!had nikasema napenda men mwenye sugu mikonom.automatic huyo ni mchachu...
 
13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.


ITAENDELEA.........
Wanaume weupe vichwani weupe pia
 
Back
Top Bottom