Sifa za usajili kidato cha sita (ACSEE)

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Ndugu wana jf naombeni Masada juu ya hili je ili usajiliwe kufanya necta form six hususani wanaosoma private school unatakiwa uwe na C flat kwenye comb au C Tatu kwenye cheti na kama ni kwenye cheti ukiwa na hizo C Tatu lakini comb unayo soma ina D flat itakuwaje ktk registration msaada please
 
Uwe na C3 pamoja na D2 kwanza!
Jengine, Katika Hiyo Combi ni Lazima uwe na atleast C2 na D1, Venginevyo ni usumbifu Kwako kupitia Necta kwenye Final Exam.
 
Uwe na C3 pamoja na D2 kwanza!
Jengine, Katika Hiyo Combi ni Lazima uwe na atleast C2 na D1, Venginevyo ni usumbifu Kwako kupitia Necta kwenye Final Exam.
Nieleweshe hapo kk maana tucje kukabana mashati na waalimu kwa kukosa no ya necta maana matokeo yapo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D B /MATH D na nahitaji EGM
 
Wana jf mi matokeo yangu yako hivi
chem-B
Bios-B
geo-C
Eng-B
maths-C
Kisw-C
Hist-D
Civics-D
Afu cjachaguliwa kusoma popote je naweza soma EGM private?
ushauri pliz
 
Wana jf mi matokeo yangu yako hivi
chem-B
Bios-B
geo-C
Eng-B
maths-C
Kisw-C
Hist-D
Civics-D
Afu cjachaguliwa kusoma popote je naweza soma EGM private?
ushauri pliz
Kasome CBG ipo siku utanikumbuka, ila ukifaulu advance na hiyo cbg
 
Wana jf mi matokeo yangu yako hivi
chem-B
Bios-B
geo-C
Eng-B
maths-C
Kisw-C
Hist-D
Civics-D
Afu cjachaguliwa kusoma popote je naweza soma EGM private?
ushauri pliz
Wewe unatafuta sifa hapo mbona hata CBG imekubali kwa nini wasukuchague au unatafuta kick
 
Ni kweli. Mi dogo kafaulu vizuri sayansi lakini kapelekwa art HKL. Alikuwa na CBB comb ya CBG lakin ana CCC HKL. Inaonesha mwaka Jana sayansi wamefaulu sana. Nimehangaika njinsi ya kumuhamisha nimekwama. Mwenye uelewa anisaidia. Shule aliyopangiwa ina art tu.
 
Nieleweshe hapo kk maana tucje kukabana mashati na waalimu kwa kukosa no ya necta maana matokeo yapo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D B /MATH D na nahitaji EGM
Utapokelewa tu mkuu hakuna shule unayokataa hela, by da way huez jua labda ukifika waziri atakua mwingine hivyo akija mwingne atabadilisha
 
Wana jf mi matokeo yangu yako hivi
chem-B
Bios-B
geo-C
Eng-B
maths-C
Kisw-C
Hist-D
Civics-D
Afu cjachaguliwa kusoma popote je naweza soma EGM private?
ushauri pliz
Huo ni uongo toa namba yako tugugo
 
Back
Top Bottom