Sifa za ualimu Wa VETA

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
852
1,005
Habari my brothers and sisters. Mdogo wañgu ana degree ya special education amehitimu mwaka Jana anataka kuwa mwalimu Wa Veta yeye ni Fundi masonry pia je vyuo vinapatikana wapi?

Au afuate channel gani ili atimize ndoto zake za kuwa mwalimu amefikia uamuzi huo baada ya kukosa ajira.Asanteni sana naomba maoni yenu.
 
Lazima ajiunge na chuo cha ualimu wa veta kwa ngazi ya cheti ama ngazi ya astashahada(diploma)katika chuo chao kilichopo morogoro kinaitwa( MVTC) anaweza kuchagua OFF CAMPUS miaka 2 kwa level ya cheti na NI CAMPUS mwaka 1 na diploma ivo ivo akishamalza apo ndipo anaingia kwenye soko la ajira bila pingamizi
 
Ili kûjiùnga diploma anatakiwa awe na sifa gani
 
Habari my brothers and sisters. Mdogo wañgu ana degree ya special education amehitimu mwaka Jana anataka kuwa mwalimu Wa Veta yeye ni Fundi masonry pia je vyuo vinapatikana wapi?

Au afuate channel gani ili atimize ndoto zake za kuwa mwalimu amefikia uamuzi huo baada ya kukosa ajira.Asanteni sana naomba maoni yenu.
Degree ya special education ikoje hiyo, maana kulingana na scheme of service mpya kama ana diploma ya civil kutoka chuo cha must, DIT,n.k ana sifa ya kuwa mwalimu,ualimu atasoma akipata kazi, ajira zinatangazwaga na utumishi,ajaze ajira portal vizuri na awe anatembelea websites ya utumishi kuangalia matangazo,vyuo vimejengwa vingi sana na vinahitaji waalimu
 
Back
Top Bottom