Moseley Senior Member Jul 10, 2010 187 94 Nov 8, 2010 #1 Naomba kufaham, je ni mhimu kwa mgombea uspika kuwa mwanachama wa chama flan? Au ni zipi sifa za kugombea uspika??
Naomba kufaham, je ni mhimu kwa mgombea uspika kuwa mwanachama wa chama flan? Au ni zipi sifa za kugombea uspika??
M MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member Aug 25, 2008 213 37 Nov 8, 2010 #4 gagagigikoko said: awe mbunge Click to expand... 2. Lazima awe fisadi kwa mujibu wa ccm,ili kulinda maslahi ya mafisadi
gagagigikoko said: awe mbunge Click to expand... 2. Lazima awe fisadi kwa mujibu wa ccm,ili kulinda maslahi ya mafisadi