Sifa za mwenzi wako

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,189
39,954
Sifa za mwanamke
  • Ukimpata anayependa maendeleo au mpambanaji,unakuta kwenye tendo hawezi kumudu
  • Ukimpata anayependa kuhongwa au pesa,ataigiza kwenye tendo
  • Ukimpata mbulula au kichwa maji,tendo analimudu vizuri ila kwenye mambo ya maendeleo au upambanaji ni sifuri.
Naishia hapo kwa leo...
 
pole chifu
 
Back
Top Bottom