Sifa za mwanamke wa kweli mwenye 'moyo wa umama'

Inachukua muda gani kutoa hayo mafunzo? Au unabadili wasichana mara kwa mara?

kipi kinachokuchosha? nijuavyo mimi si lazima kazi zote ufanye wewe ingawa mimi lazima kila kazi niihakikishe kama ilifanywa ninavyotaka na nipatapo muda huwa nafanya mwenyewe kuwapa wasaidizi wangu nafasi ya kujifunza.
 
Director anayeridhika akifanya kazi mwenyewe ni director mbaya. Unajua kwa nini? Hana imani na subordinates wake... na mwisho wa siku anaishia kuchemsha.

basi kwa kaipengele hicho hata bosi wangu atakuwa dhaifu sana, manake hapa ofcn kwetudirector wetu huwa naye ni chemist sasa huwa kunasiku kabisa tunaingia nae maabara kufanya kazi na nia yetu ni kuweka mawazo pamoja na kushirikiana ili mwisho wa siku tupate matokeo mazuri.

sasa siri ya kuwapa nidham sub ordinates wako kwanza wasikuone kama tegemezi pili wajue kabisa kwamba wewe unaperformance nzuri kuliko wao. lazima mama uwe mfano kwa uwajibikaji wowote ule na hii ndio siri hata ya kutokuibiwa hasa kama unawatumish wengi uliowaajiri. pia hukufanya kila mara kuwa na uhakika na maendeleo ya mali zako unless kama unaish ghorofani ambako hata bustani huna wala huna mpango wa kuwa nayo.
 
This is what people should consider. Ninaipenda signature ya Nyani Ngabu ya sasa hivi 'every thing is contextual' kama sikosei (nisamehe kama nimemiss quote, lakini nafikiri maana sijaibadilisha)

Wewe...signature yangu hii haijabadilika tokea 2007!!!!

Miafrika Ndivyo Tulivyo haifanani wala haimaanishi na hiyo maana unayoidhani wewe.
 
Haina haja ya kuwa na surbodinates kama huwezi 'delegate' na kuwaamini walio chini yakoTunaambiwa mjue kila mmoja strength na weakness zake ili uweze kum-utilize effectively.Kama huwezi delegate hata ofisini, unakosa muda wako na muda wa familia.
Director anayeridhika akifanya kazi mwenyewe ni director mbaya. Unajua kwa nini? Hana imani na subordinates wake... na mwisho wa siku anaishia kuchemsha.
 
Inachukua muda gani kutoa hayo mafunzo? Au unabadili wasichana mara kwa mara?
kwa bahati mbaya nina mdada wa kazi nimeish nae 9 yrs anaitwa AIDA mtu wa iringa mmbena. nina mwingine mdogo ambaye nimeish naye 5 yrs sasa juzi ndio kapata kipaimara. so kwangu ingawa wanaajua mimi mama yao nataka nini lkn hata siku moja siwaachii majukumu ya mama kuamua wao. sasa nitakuwa na kazi gani hapo ndani? kazi itakuwa kulalwa tu?

nina wakaka wa shamba ambao wanaish kwangu watatu na wameoa mmoja tu ndio alikuja na mke wengine wote nimewaoza mimi na wako wananifanyia kazi zangu.
 
Halafu kwenye siri napo huwa napata utata.

Kuna watu vyumbani mwao utadhani wanaficha madawa ya kulevya, chumba cha wazazi ni siri, siri siri saaaaaaana.

Utaskia, weee, dada atachunguliaje chumbani kwako, hebu leo nijuzeni, kuna shida gani dada kuingia chumbani kwako???
 
Mtandao unanisumbua nashindwa kureply with a qoute, gfsonwin
Umetoa mfano wa characteristics za living organism kwamba they do reproduce, as you said ni kweli.

Wagumba bado ni living organism ndio.

Hiyo ni scientifically proven fact universally.

Sasa hizo sifa zako za mwanamke bora, are they recognized universally?

lakini pia nikitumia thinking yako,
kutokuzaa hakumfanyi nyani asiwe nyani si ndio?
hivyo basi kutokuwa na sifa za gfsonwin za mwanamke bora hakumfanyi mwanamke kutokuwa bora!

Kwanini unakataa kusema hiyo ni opinion yako? Nimeona ulivyokuwa unamjibu sijui nani ulitumia wingi .."tuna.....tume.... etc" kwanini inakuwa ngumu kukubali ni mtazamo wako, ambao kusema ukweli kuna points naweza zi-buy (nilishazikubali huko juu) lakini zingine nazitupilia mbali (mimi as mimi)
 
Last edited by a moderator:
Haina haja ya kuwa na surbodinates kama huwezi 'delegate' na kuwaamini walio chini yakoTunaambiwa mjue kila mmoja strength na weakness zake ili uweze kum-utilize effectively.Kama huwezi delegate hata ofisini, unakosa muda wako na muda wa familia.

jamani unless kama hamjui aina ya watu tunaoajiri majumbani. teknolojia kila siku inakuwa ndani mara kwa mara unapaboresha hivi utaboresha pasi kuwapa maelekezo tena ya vitendo? hivi ni mdada umekaa nae miaka 9 alikuja mnatumia mkaa leo hii mnatumia gesi sasa je hutakaa kumuelekeza? sawa akimaster hapo kesho unakuja na washing machine hapo napo hutampa muda wa kujifunza? na delegate kama zimezoeleka na pale ninapoona ninamuda basi napaswa kufanya mwenyewe ili waone kweli mama yao ninafanya nitakavyo na si kutoa maelekezo kama chiriku tu.

binafsi kwenye kipengele cha kazi yaani hata unifanye nini siwez kukiacha ndivyo nilivyozoea.
 
Mtandao unanisumbua nashindwa kureply with a qoute, gfsonwin
Umetoa mfano wa characteristics za living organism kwamba they do reproduce, as you said ni kweli.

Wagumba bado ni living organism ndio.

Hiyo ni scientifically proven fact universally.

Sasa hizo sifa zako za mwanamke bora, are they recognized universally?

lakini pia nikitumia thinking yako,
kutokuzaa hakumfanyi nyani asiwe nyani si ndio?
hivyo basi kutokuwa na sifa za gfsonwin za mwanamke bora hakumfanyi mwanamke kutokuwa bora!

Kwanini unakataa kusema hiyo ni opinion yako? Nimeona ulivyokuwa unamjibu sijui nani ulitumia wingi .."tuna.....tume.... etc" kwanini inakuwa ngumu kukubali ni mtazamo wako, ambao kusema ukweli kuna points naweza zi-buy (nilishazikubali huko juu) lakini zingine nazitupilia mbali (mimi as mimi)

sikukatalii jamani ila nisemacho mimi ni kwamba simaanish kwamba asiyekuwa mojawapo wa sifa hizi basi si mama bora ingawa kwenye check list anaweza akarank low
 
Halafu kwenye siri napo huwa napata utata.

Kuna watu vyumbani mwao utadhani wanaficha madawa ya kulevya, chumba cha wazazi ni siri, siri siri saaaaaaana.

Utaskia, weee, dada atachunguliaje chumbani kwako, hebu leo nijuzeni, kuna shida gani dada kuingia chumbani kwako???

Kongosho
dada kutoingia chumbani kwako sio siri ni heshima tu, wadogo zako wanaingia chumbani kwako?

Kiafrika afrika ndoa ni tendo takatifu, chumbani mnapofanyia tendo la ndoa pana heshima yake (ingawa mnaweza fanya hilo tendo hata jikoni) hivyo si busara wala heshima kuingia ingia hivyo...

Pili ni ulinzi tu wa mali zako, vyumbani humu wengine fedha huweka tu popote au valuables zao hivyo kuepuka kuibiwa (si unajua wasichana wa siku hizi ukimpata mzuri unashukuru)

tatu mabinti wa kileo hawa usipowafunza hivyo watataka hata vyupi wafuliwe na msichana, hivyo bora kuwafundisha kuwa chumbani hakupaswi kuingiwa hovyo, chumbani mke fanya usafi mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
1.Hiyo namba 7:-Unachelewa sana kumuandalia baba chakula chake cha usiku.
2Namba 5:-Huko ni kumdekeza baba wa nyumba na kumfanya asiwajibike kwa familia yake!
3.Mbona sifa za wanaume hamziweki?Huko ni kunyanyasa jinsia moja.
.
 
kwa bahati mbaya nina mdada wa kazi nimeish nae 9 yrs anaitwa AIDA mtu wa iringa mmbena. nina mwingine mdogo ambaye nimeish naye 5 yrs sasa juzi ndio kapata kipaimara. so kwangu ingawa wanaajua mimi mama yao nataka nini lkn hata siku moja siwaachii majukumu ya mama kuamua wao. sasa nitakuwa na kazi gani hapo ndani? kazi itakuwa kulalwa tu?

nina wakaka wa shamba ambao wanaish kwangu watatu na wameoa mmoja tu ndio alikuja na mke wengine wote nimewaoza mimi na wako wananifanyia kazi zangu.
nime LOL hapo juu!! gfs wewe ni mwalimu wa lugha au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom