NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
sasa umeona Kaunga kwamba wewe uko tayari kuitetea familia yako kwa gharama yeyote ile? kwamba utaondoka na wanao je wajua kwamba iyo ndo moja ya sifa ya umama? manake siku zote mama ndio mtetez wa wanae na ndo maana hata acha watoto wasisome eti kisa baba hayuko responsible. huwa anahangaika awe yuko ndani ama ametoka na wanawe na kwamwe hawaahi wanawe nyuma.
Sifa si kubeba watoto tu! je watapata malezi bora?Huduma za ELIMU na AFYA bila kipingamizi au WATAISHIA KUWA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI. aka MACHOKORAA
Last edited by a moderator: