Sifa za Mchepuko

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,397
Wakuu wasalaam.

Naomba kujuzwa hapa, ni sifa zipi mchepuko/mpango wa kando unafaa kuwa nazo?

Nawasilisha.
 
Anatakiwa awe anamizi mpenz wako ulie nae...kama mchepo wako unazidiwa na mpenzi ulie nae bas ww n useless ...lazia awe anavigezo vya ziada kama mtundu zaid bed na vngne
duh...kamchepuko kangu hakana la ziada kumzidi waif. mkuu kwa maneno yako inamaana nipige chini huu mchepuko?
 
duh...kamchepuko kangu hakana la ziada kumzidi waif. mkuu kwa maneno yako inamaana nipige chini huu mchepuko?
mchepuko lazma uje na kitu tofauti. ni uzembe mkubwa kua na mchepuko usioleta jipya.

mchepuko uje ndani hlf unalala kama ubao...napiga chini asubuh tu.
 
Awe na joto kubwa la mwili kumzidi wife na papuchi inayonyonya ambayo haijakeketwa ambayo sio kavu wala maji mengi.
 
Kwanza awe mzuri...pili hajielewi maana ni wakumalizia tamaa tu..tatu asiwe na wivu
 
Wakuu wasalaam.

Naomba kujuzwa hapa, ni sifa zipi mchepuko/mpango wa kando unafaa kuwa nazo?

Nawasilisha.


Mimi huwa nawafananisha michepuko na mke wangu....kama hana kigezo shinda mke wangu sijisumbui hata kidogo. Yaani hata anililie kama kale kademu kanako mlilia yule msanii wa bongo fleva, zirooooo!
 
masulupwete siku ingine usisahau kuchange ID ndio ujijibu..


Hivi kumbe point na umaarufu wa jf vinalipa nlikua sijui
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom