Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa wakerewe nimecheka hatariiWanyamwezi : hawa ni kama aina tu ya wasukuma wana tabia za wasukuma ila kwa ushirikina wanyamwezi kiboko, enzi hizo mme hukai hivi hivi hadi mama akutengeneze sijui sasa hivi.
Sijui ulikarahika na nini hadi ukaanza kutusema, hata hivyo haujakosea upo sahihi kabisaNajua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Ooh hili jina la pande za kule, nikajua nawe pia mkereweMimi ni Mzanaki.
Mjita ni huyu mukaruka mzee na Mukaruka ataja rinuOoh hili jina la pande za kule, nikajua nawe pia mkerewe
Kwa wanyamwezi nimekosea nini?Hapo kwa wanyamwez,umekosea
Kwa hiyo ruvuma, iringa na njombe ni wagumu?Ukiwa mikoa ya Tabora, Shinyanga, Kagera, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani, Singida, Lindi, Mtwara, Dodoma na Mbeya ukakutana na mwanamke mwenyeji wa hapo ukamrubuni kwenda kulala naye akakukatalia, basi itabidi ukapige ramli!
Ni sumu gani wanatumia? Nitajie kesi 10 tu katika mamilioni ya wajane wa kichaga waliofiwa na waume zao! Kwa kulishwa sumu na ikathibitika hivyoSifa zote hizo hazina maana.
Sifa moja kubwa ya wanawake wakichaga ni ujasiri wa kuua mwanaume....
Haya madanguro maarufu kwa wahaya sudani Temeke na mwananyamala kwamba ndio fani yaoKabila kama kabila halina sifa ya utulivu, labda tu mtu binafsi awe katulia, wanapenda sana miti wahaya, kujisifia sasa ndo utachoka hata kama anamiliki pmb tu kujisifia kupo pale pale
Huu ni uchochezi....😂Haya madanguro maarufu kwa wahaya sudani Temeke na mwananyamala kwamba ndio fani yao
Wagweno ni wachaga tuMimi Mgweno I'm neither Pare no Chaga but super intermidiate .
Wengi hawalijui hilo kama hujui sasa jua kuwa Kilimanjaro kuna makabila matatu Wachaga, Wapare na Wagweno .
Sifa zote hizo hazina maana.
Sifa moja kubwa ya wanawake wakichaga ni ujasiri wa kuua mwanaume.
Mwanamke wa kichaga kukuua ni dakika sifuri na wala hawazi kabisa.
Asipokulisha sumu atakuchoma kisu ama atakuchomea ndani na petrol.
Kua na mwanamke wa kichaga at your own risk.