Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,101
2,000
Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Sijui ulikarahika na nini hadi ukaanza kutusema, hata hivyo haujakosea upo sahihi kabisa
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,587
2,000
Ukiwa mikoa ya Tabora, Shinyanga, Kagera, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani, Singida, Lindi, Mtwara, Dodoma na Mbeya ukakutana na mwanamke mwenyeji wa hapo ukamrubuni kwenda kulala naye akakukatalia, basi itabidi ukapige ramli!
 

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,632
2,000
Ukiwa mikoa ya Tabora, Shinyanga, Kagera, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani, Singida, Lindi, Mtwara, Dodoma na Mbeya ukakutana na mwanamke mwenyeji wa hapo ukamrubuni kwenda kulala naye akakukatalia, basi itabidi ukapige ramli!
Kwa hiyo ruvuma, iringa na njombe ni wagumu?
 

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,149
2,000
Naomba kupitia jukwaa hili tupeane mbinu, faida na changamoto!

Itusaidie kujua kiini cha tatizo ili kuwasaidia na wengine namna ya kuendana na jamii!

Wanawake wa kichaga wamekuwa gumzo tangu enzi na enzi kwa sifa kedekede nzuri na baadhi mbaya!

Miongoni mwa sifa nzuri ni kama zifuatazo!

1. Wanaaminika

Mnyonge mnyongeni lakini sifa zake mpeni, wanawake wa kichaga wengi wanaaminika sana na mwanamme, (wanajua kumpa iman mwanaume asiwe na wasiwasi) wanaweza kusimamia jambo kubwa likatiki hata Mme akiwa mbali, wana uwezo wa kulea familia kwa uvumilivu mkubwa.

2. Ushawishi
Wanawake wa kichaga wanakipawa cha ushawishi, hawana papara lakini wako smart kwenye kupangilia namna ya kuwin jambo alitakalo!

Mwanamke wa kichaga akitaka ndoa lazima ifungwe; Anajua kuikamata akili ya mwanaume haraka, kwanza kabisa mwanamke wa kichaga anajua kuweka bond (Good faith) zidi ya mwanaume wake!

Wanapenda kuboresha kwa usahihi chochote wanachomkuta nacho mwanaume! Hata mwanaume uwe muuza mihogo lakini unapompata mwanamke wa kichaga ana add value ya namna bora ya kuuza mihogo yako na lazima iuzike! Hicho kipawa kinamfanya mwanaume aoe fasta kwasababu ukilinganisha na wanawake wengine wasiyothamini mwanamme mtaftaji!

3. Siyo waoga! Wapo tayali kushinda kila hatua etc.
4. Ni waamini wazuri wa dini, na hilo huwaongezea nafas ya kuwa na malezi kwa watoto!
5. Wengi wana akili kichwani

MIONGONI MWA SIFA MBAYA NI KAMA ZIFUATAZO
1. Hawajui lugha za mahaba (not romantic)
Ndiyo! Hawako vizuri sana kwenye lugha za kubembeleza, kwa haraka haraka unaweza kuwatafsiri wakorofi kumbe ni lugha tu, Wanapenda kuongea na waume zao kama vile wanavyomtuma boda boda au mtu baki, na hapo ndipo wanaume wengi wanapowaza kuchepuka!

2. wanawake wa kichaga mostly they don't know how to position well on bed! Hii ni changamoto sana ambayo wanaume wanaipitia ili kuizoea na kuivumilia ili wasichepuka, na hali huwa mbaya zaidi wanapojaaliwa watoto.

Na kwasababu hii wanaamini mwanaume akitoka ndo basi tena, hivyo hawako tayari na battle ya mapenzi kwasababu wana inferiority ya kutojiamini kitandani na hili linawapelekea kufanya maamuzi magumu.

3. Wanawake wa kichaga ni wachumi! Kila jambo wanalotaka kufanya wanatazama faida yao kwanza! (Selfishness).
Usipokuwa makini unaweza kuwaita wanauchoyo na husda!

4. Wanawake wa kichaga wanapenda umilikishwaji
Hii ni kutokana na ile sifa njema ya kujisimamia, hivyo wanapenda umiliki usimuweke pembeni sana (legal power)

5. Wanawake wa kichaga wengi wao hahawaamini wanaume hususani wa kabila lao la kichaga, hivyo huchukua chao mapema migogoro inapoanza hasa wanapooana na mchaga kimkakati!

Chaguo sahihi sana kwa wanawake wengi wa kichaga huwa ni Wanyamwezi au wanaume wa kanda ya ziwa! Hii nikutokana na wanaume wa kanda ya ziwa wengi hawapendi malumbano

SULUHISHO!
Wanawake wa kichaga kwasababu wanaaminika, basi ukiwa nao usipende sana kudumu na mgogoro kwa mda mrefu, pia ni vyema kuwa na mapenzi shirikishi wa kila jambo, lugha zao za kibabe hazina madhara Bali ni namna tu ya uongeaji. Ni vyema kuwaonesha unawaheshimu na unaridhika hususani kitandani ili kuwaongezea confidence kwenye ndoa!

Mwisho kabisa mwanamke wa kichaga mpe Uhuru akatembelee rafiki zake siyo kumuamrisha kama mfungwa!

Kama kuna nilizosahau Tuendelee kupeana hapa faida na changamoto za wanawake wa kichaga!
 

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,640
2,000
Sifa zote hizo hazina maana.

Sifa moja kubwa ya wanawake wakichaga ni ujasiri wa kuua mwanaume.

Mwanamke wa kichaga kukuua ni dakika sifuri na wala hawazi kabisa.

Asipokulisha sumu atakuchoma kisu ama atakuchomea ndani na petrol.

Kua na mwanamke wa kichaga at your own risk.
 

RAISI AJAE

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
2,010
2,000
Kifupi katiba mpya Iitenge kilimanjaro kuwa kenya!!!tutaoa wahehe na wabena tu!!!hao wakikuyu waende kenya!!!
 

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,149
2,000
Sifa zote hizo hazina maana.

Sifa moja kubwa ya wanawake wakichaga ni ujasiri wa kuua mwanaume....
Ni sumu gani wanatumia? Nitajie kesi 10 tu katika mamilioni ya wajane wa kichaga waliofiwa na waume zao! Kwa kulishwa sumu na ikathibitika hivyo

Mi nazani tuzijadili changamoto na namna ya kuishi nao vizuri, kugeneralize kuwa wauwaji ni ujinga tunaoambukizana ambao unahitaji jamii ijue ukweli
 

Godo

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
323
500
Kabila kama kabila halina sifa ya utulivu, labda tu mtu binafsi awe katulia, wanapenda sana miti wahaya, kujisifia sasa ndo utachoka hata kama anamiliki pmb tu kujisifia kupo pale pale
Haya madanguro maarufu kwa wahaya sudani Temeke na mwananyamala kwamba ndio fani yao
 

Ruge

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
3,187
2,000
Sifa zote hizo hazina maana.

Sifa moja kubwa ya wanawake wakichaga ni ujasiri wa kuua mwanaume.

Mwanamke wa kichaga kukuua ni dakika sifuri na wala hawazi kabisa.

Asipokulisha sumu atakuchoma kisu ama atakuchomea ndani na petrol.

Kua na mwanamke wa kichaga at your own risk.
 

kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,300
2,000
Mboma mie amnipi sifa za shemeji yenu nataka kuoa mmarangu misije zama Chaka bovu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom