Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

derick mkuwa

Member
Jan 14, 2013
10
3
Kwa wale waliomaliza kidato cha nne na unapenda kutimiza ndoto za kielimu na chuo cha USTAWI WA JAMII-DSM nafasi za maombi ziko wazi kwa wale wa ngazi za cheti.SIFA STAHIKI :passed nne(D) na kuendelea,wahi haraka kwani nafasi hazitabiriki. fika chuoni hapo au ntafute kwa maelekezo zaid.

====

A. Entry Requirements into Science and Allied Technologies (SAT) Programmes
For an applicant to be eligible for admission into Science and Allied Technologies programmes, he/she must satisfy the minimum entry requirements of four passes in non religious subjects in Certificate of secondary education examination (CSEE). However,there are some programme requirements that are specific to certain programmes. Thefollowing information provides minimum admission requirements for Science and Allied Technologies (SAT) related programmes as detailed herein

B. Entry Requirements for Admission into Health and Allied Sciences Programmes
For an applicant to be eligible for admission into Health and Allied Sciences (HAS), he/she must satisfy the minimum entry requirements of four passes in non religious subjects in Certificate of secondary education examination (CSEE). However, there are some programme requirements that are specific to certain programmes. The following information provides minimum admission requirements for Health and Allied Sciences (HAS) related programmes as detailed herein.

C. Entry Requirements for Admission into TLF Programmes
The Ministry of Education, Science and Technology (MoEST) requested NACTE to coordinate applications for admission for Certificate and Diploma in Teacher Education to be offered by public Teachers Colleges. The Ministry set and issued entry requirement for Teacher Education programmes to guide admission of students both in public and private Teachers’Colleges for a given academic year. The Programmes for Diploma in Secondary Education included Social Science and Languages, Domestic Science, Business Education, Mathematics and Science, Technical Education, Physical Education,Special Needs Education, Agriculture and Fine Art. The Teacher Education programmes for Certificate level were Grade IIIA in Primary Education,Early Childhood Education, Physical Education and Certificate in Special Needs Education. The minimum entry qualifications set by MoEST were as detail herein:

D. Entry Requirements for Admission into BTP Programs
For an applicant to be eligible for admission into Business, Tourism and Planning (BPT), he/she must satisfy the minimum entry requirements of four passes in non-religious subjects in Certificate of secondary education examination (CSEE). However, there are some programme requirements that are specific to certain programmes. The following information provides minimum admission requirements for Business, Tourism and Planning(BPT) related programmes as detailed herein.

Pia soma Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako
Vigezo vya mtu kuingia Advance
 
jamani naombeni msaada wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina div 3 point 25 grade za masomo ni:
geo-c bio-c eng-b+
math-b kisw-d hist-c
phy-c chem-d civ-c

Je, naweza kujiunga na chuo cha DIT
(nataka nichukue electronics and telecommunication engineering)


huwezi kusoma = Electronics and Telecommunication !

Chagua moja kama ni Telecommunication nenda hapo hapo DIT

kama ni Electronics
au Electronics & Electrical engeneering nenda ATC (arusha)

ila wazazi wako wajipange kukulipia mana ada sio mchezo ! Ni mana hapo ulipo unao uwezo wakwenda advance !
 
huwezi kusoma = Electronics and Telecommunication !

Chagua moja kama ni Telecommunication nenda hapo hapo DIT

kama ni Electronics
au Electronics & Electrical engeneering nenda ATC (arusha)

ila wazazi wako wajipange kukulipia mana ada sio mchezo ! Ni mana hapo ulipo unao uwezo wakwenda advance !

Ada ni kiasi gani?
 
Umefeli Chemistry !

Afu direct entry ni wale wanaochaguliwa kutoka shule mojka kwa moja !

Yaani hawakuchagua kwenda advance na wamefaulu vizuri !

kwahiyo naingia pre entry na kufanya mtihani wa kuangalia kama nina vigezo vya kujiunga?
Na mitihani yao ni ya aina gani?
 
huwezi kusoma = Electronics and Telecommunication !

Chagua moja kama ni Telecommunication nenda hapo hapo DIT

kama ni Electronics
au Electronics & Electrical engeneering nenda ATC (arusha)

ila wazazi wako wajipange kukulipia mana ada sio mchezo ! Ni mana hapo ulipo unao uwezo wakwenda advance !

hapana kijana,must wana electronics+electrical wakat Dit wana electronics+telecom(ambayo ata UDSM ipo hvyo hvyo)
 
Na ukweli ni kwamba utaenda direct entry japokuwa utakuwa ni private sio gvt sponsored.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom