Sifa za kujiunga na shahada ya kwanza Chuo Kikuu Huria

  • Thread starter Mtakatifu Joseph
  • Start date

M

Mtakatifu Joseph

Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
17
Likes
0
Points
0
Age
36
M

Mtakatifu Joseph

Member
Joined Dec 27, 2012
17 0 0
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya sifa zinazotakiwa ili kujiunga na chuo kikuu huria Tanzania kwa shahada ya kwanza katika elimu(first degree in education).na pia sifa za stashahada(Diploma) ya elimu.Asanteni.
 
wamogori

wamogori

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
888
Likes
10
Points
35
wamogori

wamogori

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2013
888 10 35
Kwa elimu ya shahada sifa ni kuwa na principle mbili zenye jumla ya cutoff point 2.0 kwa matokeo ya kidato cha sita na pia uwe ulipata credit tatu kidato cha nne.
 
M

Mtakatifu Joseph

Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
17
Likes
0
Points
0
Age
36
M

Mtakatifu Joseph

Member
Joined Dec 27, 2012
17 0 0
Thank you mkuu.
 
Brightman Jr

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2009
Messages
1,234
Likes
9
Points
135
Brightman Jr

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2009
1,234 9 135
Jaribu kutembelea HAPA kwa msaada zaidi.
 
E

eeeeee

New Member
Joined
Apr 28, 2015
Messages
1
Likes
0
Points
0
Age
23
E

eeeeee

New Member
Joined Apr 28, 2015
1 0 0
mambo naje wadau?????
samahan mwenye ufahamu anielimishe nataka kuanza na diploma ya sheria udom ila cjui kama maksi zang znakubali!!
b/m-f bioz-c kisw-c eng-b+ geog-c hist-e civ-e pass ya 1.4 mwenye uelewa wa chuo cha udom au udsm anisaidie kama inawezekana
 

Forum statistics

Threads 1,275,228
Members 490,947
Posts 30,536,206