sifa za kujiunga jwtz

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
nimekua nikisikia kuwa jwtz huwa wanakua na vigezo vingi sana wakati wa kujiunga nao kwa ajili ya kuwa mwanajeshi,tafadhali naomba kwa mtu anaejua sifa na vigezo vya kujiunga jwtz anisaidie,kuanzia umri,elimu nk.natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Nacho jua unatakiwa uwe chini ya miaka 25, uwe mtanzania cheti cha kuzaliwa, vyeti vya elimu, usiwe na ulemavu wowwte ule, usiwe umejichora mwili. kama kuna vyengine anaejua atakuongezea.
 
Inategemea unajiunga kama professional ama elimu ya kawaida......Kama elimu ya kawaida usizidi miaka 25 na kama professional miaka yeyote,usiwe na ulemavu wa aina yeyote ikiwemo kuwa na kitovu kikubwa,kutokuwa na uvungu kwenye mguu(miguu flat haitakiwi-huwa haiwezi mazoezi makali),matege,BP ,Kifua,na usiwe umetumiwa nyuma(*******).
 
Hajatt kamaliza sifa na vigezo vyo. Ila zanani kulikua na swala la kimo(urefu) lilizingatiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom