Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

Dec 27, 2012
17
3
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya sifa zinazotakiwa ili kujiunga na chuo kikuu huria Tanzania kwa shahada ya kwanza katika elimu(first degree in education).na pia sifa za stashahada(Diploma) ya elimu. Asanteni.
===

Sifa kwa wanaotaka kuingia vyuo vikuu (The ones who wish to join Universities)

Makundi ya Waombaji
Udahili wa kujiunga na Shahada ya Kwanza utahusu makundi makubwa matatu ya waombaji: a) Wahitimu wa Kidato cha Sita;

Wenye Stashahada (Ordinary Diploma), au sifa linganifu; na

Waliomaliza Foundation Programme ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, na kupata G.P.A 3.0 au zaidi, na angalau daraja C kutoka masomo sita katika makundi mahususi ya Sanaa, Sayansi na Biashara.

Utaratibu wa Kuomba Udahili
Maombi yote yanatumwa moja kwa moja kwenye vyuo muombaji anavyovipenda na kuchagua programu za masomo anazozipenda. Mwongozo wa programu zilizoidhinishwa kudahili na vigezo stahiki (Undergraduate Admission Guidebook for 2019/2020), unapatikana kwenye tovuti ya Tume www.tcu.go.tz.

Maelekezo mahususi kuhusu jinsi ya kuomba programu ya masomo yanatolewa na vyuo husika.

Vigezo na Sifa za Waombaji Udahili
Waombaji wote wanaelekezwa kusoma kwa makini vigezo vilivyooneshwa katika kitabu cha muongozo ili wajihakikishie kwamba wanakidhi vigezo na sifa stahiki za udahili zilizoidhinishwa na Tume. Muhtasari wa sifa za jumla umebainishwa katika

Jedwali Na. 1,2, 3, na 4.

Jedwali Na. 1: General Minimum Entry Requirements for the 2019/2020

Admission Cycle



[TD valign="top"] S/N [/TD][TD valign="top"] Category of Applicants [/TD][TD valign="top"] Minimum Admission Entry Qualifications [/TD]

[TD valign="top"]1.[/TD][TD valign="top"]Completed A’ Level Studies before 2014[/TD][TD valign="top"] Two principal passes with a total of 4.0 points in Two Subjects defining the admission into the respective programme (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)[/TD]

[TD valign="top"]2.[/TD][TD valign="top"]Completed A’ Level
Studies in 2014 and
2015[/TD][TD valign="top"] Two principal passes (‘C’ and above ) with a total of 4.0 points from Two Subjects defining the admission into the respective programme (where A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1; E = 0.5)[/TD]

[TD valign="top"]3.[/TD][TD valign="top"]Completed A’ Level Studies from 2016
onwards[/TD][TD valign="top"] Two principal passes with a total of 4.0 points in Two Subjects defining the admission into the respective programme (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)[/TD]

[TD valign="top"]4.[/TD][TD valign="top"]Foundation Programme of the OUT[/TD][TD valign="top"] A GPA of 3.0 accumulated from six core subjects and at least a C grade from three subjects in respective cluster (Arts, Science and Business Studies)
PLUS
An Advanced Certificate of Secondary Education
Examination with at least 1.5 from two subjects
OR
An Ordinary Diploma from the recognized institution with a GPA of at least 2.0
OR
NTA level 5
/Professional Technician Level II
Certificate.[/TD]

Jedwali Na. 2: Minimum Entry Requirements for Health-Related Programmes for the 2019/2020 Admission Cycle

[TD valign="top"] S/N [/TD]
[TD valign="top"]
Degree Programme
[/TD]
[TD valign="top"]
Entry Requirements
[/TD]

[TD valign="top"]1.[/TD][TD valign="top"]Doctor of Medicine (MD/MBBS) [/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 8 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and Biology and at least D grade in Physics [/TD]

[TD valign="top"]2.[/TD][TD valign="top"]Doctor of Dental Surgery (DDS) [/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 8 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and Biology and at least D grade in Physics [/TD]

[TD valign="top"]3.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Pharmacy (BPharm) [/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 8 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and Biology and at least D grade in Physics [/TD]

[TD valign="top"]4.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Medical
Laboratory Sciences ( BMLS )[/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics [/TD]

[TD valign="top"]5.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Science in Radiation Therapy
Technology ( BSc RTT )[/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics [/TD]

[TD valign="top"]6.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Science in
Prosthetic and Orthotics ( BSc
PO
)[/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics [/TD]

[TD valign="top"]7.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Science in Nursing ( BScN )[/TD][TD valign="top"] Three principal passes in Chemistry, Biology and either Physics or Mathematics or Nutrition with a minimum of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics or Mathematics or Nutrition [/TD]

[TD valign="top"]8.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Science in Environmental Health
Sciences ( BSc EHS )[/TD][TD valign="top"] Three principal passes in Chemistry, Biology and either Physics or Mathematics or Nutrition or Geography or Agriculture with a minimum of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics or Mathematics or Nutrition or
Geography or Agriculture
[/TD]

[TD valign="top"]9.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Medical
Laboratory Sciences in
Clinical Chemistry
Hematology and Blood
Transfusion,
Histotechnology
Microbiology and
Immunology
Parasitology and Medical
Entomology and,
Bachelor of Medical
Laboratory Sciences General[/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics , Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics [/TD]

[TD valign="top"]10.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Sciences in Health Laboratory and Bachelor of Science in
Physiotherapy[/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics , Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points, whereby one must have at least C grade in Chemistry and at least D grade in Biology and E grade in Physics [/TD]

[TD valign="top"]11.[/TD][TD valign="top"]Bachelor of Science in
Optometry[/TD][TD valign="top"]Three principal passes in Physics , Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points, whereby one must have at least C grade in Physics and at least D grade in Biology and E grade in
Chemistry/Mathematics [/TD]

Jedwali Na. 3: General Minimum Entry Requirements (For Holders of Ordinary
Diploma or Equivalent Qualifications)


[TD valign="top"] S/N [/TD]
[TD valign="top"]
Category of Applicants
[/TD]
[TD valign="top"]
Minimum Undergraduate Admission Entry Qualifications
[/TD]

[TD valign="top"]
[/TD]
[TD valign="top"]Ordinary
Diploma,
FTC and
Equivalent
Qualification
Applicants[/TD][TD valign="top"]At least four passes (‘D’s and above) at O’ Level or NVA Level III with less than four O’ Level passes or equivalent foreign qualifications as established by either NECTA or VETA; AND
i) At least a GPA of 3.0 for Ordinary Diploma (NTA Level 6); OR
ii) Average of “C” for Full Technician Certificate (FTC) (where A=5, B=4, C=3, and D=2 points); OR


iii) Average of ‘B’ Grade for Diploma in Teacher Education;
OR
iv) Average of ‘B+’ Grade for Health related awards such as Clinical Medicine and others; OR
v) A Distinction for unclassified Diplomas and certificates;
vi) Upper Second Class for classified non-NTA Diplomas.
[/TD]


Jedwali: Na.4: Minimum Entry Requirements for Health Related Programmes
Requirements (For Holders of Ordinary Diploma or Equivalent Qualifications)


[TD valign="top"] S/N [/TD][TD valign="top"] Degree Programme [/TD]
[TD valign="top"]
Entry Requirements
[/TD]

[TD valign="top"] 1 [/TD][TD valign="top"] All Health Related
Programmes
[/TD][TD valign="top"]All equivalent applicants need to have a Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least five
(5) passes, including two credit passes in Chemistry and Biology and a ‘D’ grade in Physics PLUS appropriate Diploma or Advanced Diploma with an average of “B+’’ or GPA of 3.5 or BSc (lower second) majoring in
Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology.[/TD]

Pia soma Uliza chochote kuhusu kujiunga chuo kikuu huria Tanzania
 
Kwa elimu ya shahada sifa ni kuwa na principle mbili zenye jumla ya cutoff point 2.0 kwa matokeo ya kidato cha sita na pia uwe ulipata credit tatu kidato cha nne.
 
mambo naje wadau?????
samahan mwenye ufahamu anielimishe nataka kuanza na diploma ya sheria udom ila cjui kama maksi zang znakubali!!
b/m-f bioz-c kisw-c eng-b+ geog-c hist-e civ-e pass ya 1.4 mwenye uelewa wa chuo cha udom au udsm anisaidie kama inawezekana
 
Wandugu naomba kujua sifa za kujiunga na chuo cha mipango dodoma kwa mwaka 2017/2018 kwa kozi yoyote ya certificate natanguliza shukrani zangu za dhati juu ya hilo
 
Siku hizi udahiri unafanywa kwenye vyuo husika.


Hakikisha unatafuta taarifa Kwenye tovuti rasmi ya Chuo...

Hongera
 
Chuo ni kizuri kwakweli..mdogo wangu anasoma pale,sifa za kujiunga zipo kwenye mtandao
 
Kwanini unauliza hapa wakati unaweza ku-google na kupata tovuti ya chuo ambako utapata taarifa zote? Yaan hapa hata kungekuwa na mwanafunzi wa Mipango au hata mhadhiri asingeweza kukupa taarifa sahihi kuhusu sifa za kujiunga maana zinatofautiana kulingana na shahada unayotaka kusoma.

Kuuliza hapa unajijengea mazingira ya kutapeliwa au kupewa taarifa za uongo.
 
Kwanini unauliza hapa wakati unaweza ku-google na kupata tovuti ya chuo ambako utapata taarifa zote? Yaan hapa hata kungekuwa na mwanafunzi wa Mipango au hata mhadhiri asingeweza kukupa taarifa sahihi kuhusu sifa za kujiunga maana zinatofautiana kulingana na shahada unayotaka kusoma.

Kuuliza hapa unajijengea mazingira ya kutapeliwa au kupewa taarifa za uongo.
Tatizo wanapenda sana kitonga.. So ni kazi ndogo tu, anaingia on website yao kila kitu anakipata
 
Trending in Higher Education
__________________________
[HASHTAG]#UDAHILI[/HASHTAG]

KWA WALIOMALIZA DIPLOMA NA KIDATO CHA SITA ILI KUJIUNGA NA CHUO KIKUU

___________________________

1.Kwa waliomaliza Cheti na Diploma wanatakiwa kuwasilisha nyaraka zao NACTE ili zihakikiwe(verification) kupitia Link ambayo imetolewa kupitia mtandao wa NACTE baada ya uhakiki huo utapewa #code_namba kulingana na ufaulu wako ambayo ndio itakuwezesha kufanya UDAHILI kwenye chuo kikuu unachokipenda,kumbuka Hakuna chuo kitapokea maombi ya udahili bila code namba hiyo,zoezi limeshaanza na linaendelea Hadi sasa .

2.Kwa waliomaliza Kidato cha Sita maombi UDAHILI kwa mwaka huu Unafanyika moja Kwa moja kupitia chuo na sio TCU kama miaka iliyopita, UDAHILI utaanza tarehe 22.07.2017 hadi 30.08.2017,hivyo mwanafunzi atafanya maombi ya kusoma shahada kupitia chuo anachokipenda, vyuo vikuu vyote vimeshapewa maelekezo kupitia maafisa UDAHILI (admission officers) kupitia mafunzo maalum yaliyoisha tarehe 15.07.2017,Kitu cha muhimu ni kwamba mwanafunzi hatolazimika kusafiri kwenda chuo husika kila kitu kitafanyika kupitia mtandaoni (Online), Anachotakiwa kufanya mwanafunzi ataingia kwenye Website ya chuo utatafuta link ya udahili na kufata taratibu ambazo zimeweka.

Mwanafunzi atajaza taarifa chache Sana ,maana chuo kimewezeshwa kuwa na muingilano Wa mfumo data na NECTA na NACTE, mwanafunzi atajaza taarifa muhimu tu kama vile majina kamili ,index namba zote Hata kama uliwahi ku Reseat zaidi ya mara moja,email na code namba kwa waliomaliza Cheti na Diploma.

Muda uliotengwa ukiisha baada ya tarehe 30.08.2017 hakutakuwa na nyongeza ya muda .

Baada ya hapo majina yatatolewa kwa kila chuo na mwanafunzi aliyedahiliwa atathibitisha usomaji wake kwenye chuo kimoja hata kama jina lake limejitokeza kwa vyuo zaidi ya kimoja.

NB: Maelekezo zaidi yanapatikana kupitia

www.nacte.go.tz kisha Bofya Award verification

www.tcu.go.tz kisha Bofya Admission procedures for 2017/18 uzisome kwa umakini na kuzielewa kuepuka kusumbuka dirisha likifunguliwa
_________________________
kukumbushana ni muhimu
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom