Sifa za kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa wa kujitegemea ni zipi

Uwe na Pesa tu za Kulipia nakumbuka kipindi chetu ilikuwa 90,000, Vyeti vyako vya O-level i mean namba ya mtihani ya O-level wawe na uhakika umepitia O-level pia nafikiri uwe una pass ya O-level kama sikosei nadhani na wengine wataongezea..

Good Luck
 
Uwe pass ya kiwango cha C aka Chee kwa masomo angalau matatu na combination unayosoma uwe umefaulu masomo yote angalau kiwango cha D, ndo kusema unatakiwa uwe umefaulu O-level na katika masomo yote hayo uliyofaulu uwe una masomo angalau matatu (C) uwe umepata C ila isiwe Bible study ama Islamic knowledge
 
Asante mkuu vp pass zako za o-level zinatakiwa ziwe vp

Sent using Jamii Forums mobile app

Saw mkuu kwaio kama una 3 point 25 pia bado hujakizi vigezo
Phy=C
Eng=C
Chemi=D
Geo=D
Kisw=D
Civics=D
Is.knowledg=C
Bio=D

Kwa Hizi Maksi Nenda Shule, ukawe Serious kwa maana Advance ukipata Maksi kama hizi itakusumbua saana, Nakuasa Nenda Advance(PC) usome, Ukifeli upate C au B.. utaenjoy hata wakati wa Kuchagua Chuo..
 
Mkuu naomba nifafanulie uzur kwasabab apo kweny chet chang nna pass 3 ikiwemo ya religion na simple nnazo 5 kweli sitatemwa kwa pass zang 3 ikiwemo ya religion mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyewe nilipita huko form six nilitoka na three ya 14.

imesomeka!!
 
Mkuu Japo nilikuwa School Candidate ila Private Candidate kuna changamoto labda uende shule ambayo ni PC's tu ili mtreatiwe kama school candidates! la sivyo kuna kazi
Saw wew unanishauri vp mkuu kwan mim tayar nimeshatafuta shule ambayo ina combination iyo lakini sio wote ni PC wengi wao ni SC mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saw mkuu kwaio kama una 3 point 25 pia bado hujakizi vigezo
Phy=C
Eng=C
Chemi=D
Geo=D
Kisw=D
Civics=D
Is.knowledg=C
Bio=D

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue sio point maana mtu anaweza akawa point 28 na akawa amefaulu masomo matatu kwa kiwango cha C na bahati nzuri kwenye combination hakuna F anaruhusiwa kufanya mtihani bila shida. Ila kwa matokeo yako unaruhusiwa kufanya mtihani kwa kuwa una credit tatu (3) yaani C tatu maana nimeangalia NECTA wamesema uwe na Credit tatu (3) bila ufafanuzi (hivyo ni rukhsa) check hiyo link
NECTA | ACSEE
Kumbuka mwisho wa kulipia mtihani ni Septemba 30 na ada ni 50,000 na waliochelewa ada ni 65,000 kama utalipa kuanzia Octoba mosi ambapo mwisho kabisa ni Octoba 31 na dirisha la usajiri linafungwa. Check tena link hapo chini
https://www.necta.go.tz/files/PRIVATE_CANDIDATES_REGISTRATION_ACSEE 2018.pdf
 
Asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom