Sifa za kuajiriwa Tanzania

Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,005
1,337
Karibuni tujadili sifa za ajira mbalimbali kwetu Tanzania.

1.Dreva
-Awe na elimu ya kidato cha NNE na kuendelea.
-Awe amepitia mafunzo katika chuo kinchotambulika
-Awe na uzoefu miaka mitatu.

2 Mtendaji kijiji/Kata
-Elimu kuanzia form four
-Awe amesoma utawala
-Uzoefu miaka mitatu na....

3 M/kiti kamati ya shule
-Elimu kidato cha NNE na kue...

4 Mlinzi wa shule
-Elimu kidato cha nne na ....
-Awe amepitia mafunzo ya mgambo

5. Mkuu wa mkoa/Wilaya
-Elimu ......
-Uzoefu.....

6 Mbunge
-Elimu ni kujua kusoma na kuandika
- Uzoefu...


Hahahahaha.......
!!!!!!!!!!!?

Ongezea tafadhali
 
hapa kazi za kijingajinga zinataka elimu kubwa but crucial jobs zinataka elimu ya hapa na pale!
 
Awe na wa kumshika mkono / refer
Na hawa 'washika mikono ndio wametufikisha hapa'.
Unakuta mtu hana kabisa uwezo lakini anachomekwa sehemu, au anapelekwa shule na huko inakuwa ni ujanja ujanja usiku na mchana hadi degtee ipatikane bila kujali uwezo. Ndio unawakuta wamo darasani lakini wana uhakika wa kazi sehemu fulani ambapo wakifika huko ni kuharibu kwa kwenda mbele!
 
Mtoa post una lako tu, halafu kidogo umekwenda chaka, pitia matangazo ya ajira ya PSRS au ingia tovuti ya UTUMISHI wameainisha sifa kwa nafasi mbalimbali zilizo chini ya utumishi wa umma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom