Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Wenye uwezo Wa kuipanda mtatuhadithia mkishuka
Nalog off
Nalog off
Kama kawaida yetu watanzania, huwa hatuna tabia ya kutafuta habari/kufuatilia taarifa, achilia mbali kujisomea vitabu. Matokeo ya mapungufu haya tumetengeneza mtaji kwa wanasiasa.Hivi ni kweli hawa idara ya habari hawakuona kama hili tangazo limekosewa? Sasa kama vitu vidogo kama hivi vinawashinda tutawaanini vipi kwa hayo makubwa wanayotuahidi?View attachment 975322
Hivyo vitu ni nani? Pathetic kabisa!Huna jipya, maendeleo ya watu ni bora kuliko maendeleo ya vitu
Chanzo cha maendeleo ya watu ni mawndeleo ya vitu mkuu.Huna jipya, maendeleo ya watu ni bora kuliko maendeleo ya vitu
Walilkuahidi nini mkuuHivi ni kweli hawa idara ya habari hawakuona kama hili tangazo limekosewa? Sasa kama vitu vidogo kama hivi vinawashinda tutawaanini vipi kwa hayo makubwa wanayotuahidi?View attachment 975322
Mpaka 160.. itategema na upangaji wa seat ndani ya ndege.abiria 130 tu?
Uzuri SOF wapo kazini,wanatunza kumbukumbu,ngoja mda ufike tutatafutana.Taratibu jamani! Wakati tunanunua Rada miaka ile tulishangilia na kujisifu sana,, lakini baadae SOF wakatufungua macho kuwa tumepigwa ile mbaya..
Ikabidi hao "mabeberu" watuonee huruma kuhakikisha fedha tulizo l biwa zirudi sie Kwa kuficha wizi tukaita change ya rada.
Jee hawa viongozi wa sasa hasa mzee baba mwenyewe anaweza kutuhahihishia kuwa haitatokea mambo ya "change ya ndege" hapo baadae? Na anaweza kuapa kuwa pamoja na sifa wanazopokea sasa likitokea hilo tuwafanye lolote ikiwa hata zile style za China kwa wahujumu?
Mwenye access na huko juu akaniulizie
View attachment 975317ZITTO,,,SISI WATANZANIA TUNATAKA MAMBO HAYA NA SIO SIASA ZA MATUKIO
Ndege ya pili Msn 55048 yenye usajili C-FOUY imeanza kuruka kwa mara ya kwanza leo hii.Kama kawaida yetu watanzania, huwa hatuna tabia ya kutafuta habari/kufuatilia taarifa, achilia mbali kujisomea vitabu. Matokeo ya mapungufu haya tumetengeneza mtaji kwa wanasiasa.
Ni ajabu wizara nzima wakiwemo viongozi waandamizi wa ATCL wasijue taarifa za utengenezaji wa ndege mbili kwa kipindi cha miaka mitatu, Ifikapo siku ya kukabidhiwa wasijue ni ndege ipi inayotangulia kati ya hizo mbili..
Wapo watu hawako makini au hawachukulii masuala ya kazi kwa uzito..... Taarifa zote za ndege ya pili ambayo inasubiri mazoezi ya kuruka zipo kwenye tovuti ya Bombardier......LABDA kama walifanya makusudi kuwaficha wabaya wao taarifa ....LAKINI??...
Hadi kufikia uamuzi wa kutoa taarifa zisizo sahihi kwa Rais mbele ya kadamnasi???.... Hii haina tofauti na, 1. ule mkenge wa kupasua kichwa badala ya goti au kinyume chake. 2.Kutangaza timu ya taifa kwenda na ndege yetu kumbe.. Hora!! na kadharika nyingi tu.
Hakuna anayeweza kasirikia maendeleo akapinga ufisadi.Ufipa pumzi inaisha, hakutoshi jinsi watu walivyo kasirika.
Jambo jema ni kuwa watanzania pekee ndiyo tumeweza kuzinunua hivyo kuweka historia duniani.