SIFA ZA CHADEMA

Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,167
2,426
Salaam,

Ukimuuliza mpenda haki yeyote kuhusu chadema katika taifa hili atakutajia sifa zifuatazo;

1. CDM ni sucrifice wa siasa za Tanzania
2. CDM ni mastermind wa siasa za Tanzania
3.CDM ni mkombozi wa siasa za Tanzania
4. CDM ni nuru ya siasa za Tanzania
5. CDM ni mlezi wa siasa za Tanzania

Nb: hata hiyo tume kazi fake ya tume huru iloundwa kuwahadaa watanzania ni kwa sababu ya mchaka mchaka wa CDM.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom