Sifa ya Uzoefu kwenye nafasi mbalimbali za kazi zinazotangazwa

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
438
507
Ndugu Wana Jf
Kwenye matangazo mengi ya kazi tunayokutana nayo mitandaoni, matangazo mengi yanataka Uzoefu.
Sasa kinachoshangaza kwenye matango mengi Uzoefu ni miaka 3,5, mpaka 10.
Unakuta wakati mwingine tangozo lenyewe ni la Internship.
Maafisa waajiri mlioko humu tushaurini tukikutana na matangazo ya kazi yenye sifa ambazo baadhi tunazo labda moja inakosekana tuombe?
Maana matangazo mengi Uzoefu miaka 2,3,5,10 eeee!!!
Undergraduate Uzoefu huo anatoa wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom