Sifa ya Division 4 na 0 kujiunga na Jeshi: Je, ni mkakati wa kuwabeba ndugu/watoto wa vigogo waliofeli?

Wakichukuliwa division 1 mnalalamika ni watoto wa vigogo...

Wakichukuliwa division zero bado mnalalamika ni watoto wa vigogo...

Am kweli tenda wema uende zako...
Wambie, hao watoto wa Vigogo wenyewe shule Wanasoma IST, FEZA, UK, USA, RSA, China nk saaa ngapi wahangaike na Jeshi?? Akina sisi pangu pakavu watoto wetu wanaosoma KAYUMBA ndio haswaa wenye Div 4 ya 32 wala usiwasingizie vigogo kamwe. Yaani Kigogo mtoto wake asome kwa Ada ya Tshs. Mil.12- 100 kwa mwaka halafu ampeleke Polisi mshahara wa 4K kwa mwezi???
Mleta mada tumia akili japo kiduuuuchu tu kutafakari andiko lako.
 
Hakuna mtoto wa kigogo ni mwalim au polisi. Vigogo ni kuanzia wakurugenzi kwenda juu. Kama yupo alianza hzo kaz mshua wake hajafikia hapo au amezngua shule.
 
Kumbuka tu kuna helcopter kule sijui zinaendeshwa na nani? kumbuka hawa watu wanazo hospitali sijui madaktari ni nani ? kumbuka wanavikosi vya cyber crime sijui kwenye computer huwa anakaa nani? kumbuka wanayo magari hawa siju wahandisi wao ni nani? Kumbuka wanavyo viwanda vya nguo siju mafundi wao ni nani? Kumbuka wanaendesha mashtaka mahakamani sijui hao wanasheria ni wakina nani?.
Nakukumbusha tena kila Elimu kule majeshini inahitajika kwa sababu maalumu nenda kaombe kazi kwa kushindanishwa na watu wa Elimu yako siyo wewe unayo masters unataka ufanye Usaili na form four. wakati mtakwenda kupishana majukumu.
Wote hao wapo na wengine wanajiriwa kipindi hiki
Soma.Matangazo yote vizuri.
 
Unajua mtu yoyote ambaye Brain haifanyi kazi vizuri huwa anakuwa na nguvu nyingi za misuli
Naweza kukubaliana na wewe, Kuna jamaa tulisoma nae shule ya sekondari magulugavilimbwa mwaka 1920 alooooo jamaa alikuwa kiazi Sana Ila alipoenda kupata kazi hizo anapafomu kuliko wale cream.
 
Back
Top Bottom