Wambie, hao watoto wa Vigogo wenyewe shule Wanasoma IST, FEZA, UK, USA, RSA, China nk saaa ngapi wahangaike na Jeshi?? Akina sisi pangu pakavu watoto wetu wanaosoma KAYUMBA ndio haswaa wenye Div 4 ya 32 wala usiwasingizie vigogo kamwe. Yaani Kigogo mtoto wake asome kwa Ada ya Tshs. Mil.12- 100 kwa mwaka halafu ampeleke Polisi mshahara wa 4K kwa mwezi???Wakichukuliwa division 1 mnalalamika ni watoto wa vigogo...
Wakichukuliwa division zero bado mnalalamika ni watoto wa vigogo...
Am kweli tenda wema uende zako...
Mleta mada tumia akili japo kiduuuuchu tu kutafakari andiko lako.