Sifa nyingine ya Augustine Mahiga: Yeye ndiye "Shahidi Y" kwenye kesi ya Uhaini ya mwaka 1982/83

Mkuu Kataskopos, it's very true, wazazi wangu wote wawili baba, Mzee Andrew Mayalla (RIP) alikuwa ni mtumishi mtiifu wa Idara na mama still alive ni retired now lakini bado ni well taken care na Idara pia ni mtumishi mtiifu wa Idara, but very unfortunately mimi mtoto wao, I'm not!.

Ila sasa baada ya kuitwa kuhojiwa Dodoma na Kamati ya Bunge, sasa nimejitambua na namtafuta Polepole ili nami niunge rasmi juhudi
P
Maisha yanaenda kasi sana...

1. Polepole naye ameshaitwa kwenye kamati na Bwana Ndugai
2. Bwana Ndugai sio spika wa Bunge tena
 
Back
Top Bottom