Sifa kuu za marais walioongoza jamhuri ya muungano wa tanzania

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Kila kiongozi anapoondoka madarakani huacha kumbukumbu imma mbaya au nzuri kwa wananchi. Kwetu Tanzania Marais walioongoza kuanzia Nyerere (mzee kifimbo), Mwinyi (mzee rukhsa), Mkapa na sasa Kikwete walisifikika kwa kitu gani. Ni mambo gani mabaya na mazuri ambayo tunanaweza kuyakumbuka. Rais Kikwete nae hadi katika ngwe hii ni jambo gani ambalo tunaweza kusema kuwa ni nembo ya uongozi wake wake?
 
Back
Top Bottom