Huenda hata akina mkapa wanasujuduHapa hata waliomuweka madarakani wanajuta
Huenda hata akina mkapa wanasujuduHapa hata waliomuweka madarakani wanajuta
Nimeikubali hiyo 'Bara bara' na si Visiwani Zanzibar.Utasikia kwenye awamu hii tumetekeleza uchumi umepanda kwa 8%.
Tumetekeleza
Ndege
Daraja
Bara bara.
Ajira.
Sasa hizo ajira sasa ukija kitaa ulizia majibu utakayo yapata.
Tulia kijana mbona husikiiNitaendelea kunukuu sifa walizopewa/wanazopewa madikteta mbali mbali duniani waliopo na waliotangulia mbele za haki. Yupo moja hapa Afrika aliitwa Eyadema wa Togo...huyu alikuwa anasifiwa kwa kufanikiwa kumaliza ukame nchini Togo kwa kuwezesha mvua kunyesha na wananchi walikuwa wanaandamana kumpa asante!
Halafu alitokea mwingine hapa hapa Afrika...@Mkirindi, je na huyu uliwahi kumsikia?Tulia kijana mbona husikii
Nitaendelea kunukuu sifa walizopewa/wanazopewa madikteta mbali mbali duniani waliopo na waliotangulia mbele za haki. Yupo moja hapa Afrika aliitwa Eyadema wa Togo...huyu alikuwa anasifiwa kwa kufanikiwa kumaliza ukame nchini Togo kwa kuwezesha mvua kunyesha na wananchi walikuwa wanaandamana kumpa asante!