Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwana Mpotevu, Jun 5, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Zifuatazo ni sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume kamili anapenda kuziona ama kuzikuta kwa mwenza wake.

  1. Mwanamke anapaswa kuwa na maisha yake na sio maisha ya kuiga. Wapo wanawake ambao hupenda kuiga kile kinachofanywa na wanawake wenzake na kudhani hivyo ndivyo anavyopaswa kuwa. mwanamke mwenye tabia hiyo huwa hana mvuto kwa mwanaume kwani atakuwa ni mwana mke fake.

  2. Mwanamke anapaswa kuwa mtiifu na mwenye heshima na pia mwenye busara. Mwanamke hapaswi kuwa na kiburi na kutaka kuota mapembe ndani ya mahusiano. Heshima na utiifu haimaanishi kuwa tayari kunyanyaswa, hapana. Mwanamke anapaswa ampe mpenzi wake ama mumewe heshima inayotakiwa kama kichwa cha mahusiano yenu.

  3. Mwanamke anapaswa kuwa na uwezo wa kujitegemea. Hapa utata kidogo, wapo wale wanaoamini kuwa mwanamke anapaswa kutegemea kila kitu toka kwa mwenza wake. lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuwa na uhusiano na mwanamke ambaye anaweza kusimama kwa miguu yake na kujitegemea pia.

  4.Mwanamke lazima awe anajiamini. Naam, hapa haimaanishi kuwa anatakiwa kuwa kiburi na mbishi, hapana. Isipokuwa mwanamke anapaswa aonyeshe kujiamini kwa kile anacosema na anachotenda. Kujiamini kunamfanya mwanaume ajue kuwa ana mpenzi ama mke ambaye anaweza kukabiliana na mikwaruzo mbalimbali inayohitaji hoja na utetezi.

  5. Mwisho, mwanamke anapaswa kuwa na mvuto. Hapa haimaanishi kuwa mrembo saaaana, hapana. Ina maana kuwa mwanamke anapaswa kuwa nadhifu kila wakati ili kumfanya mwanaume apende kuwa nawe na avutiwe kuwa nawe wakati wote.

  Sifa hizi tano akiwa nazo mwanamke, basi atambue fika kuwa Mwanaume atavutiwa nawe na uhusiano wenu unaweza kudumu na kudumu na kudumu. Unaweza kuongeza sifa nyingine hapa chini.

  NYONGEZA
   
 2. Adoe

  Adoe JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Is it your analysis dude?
   
 3. kijana15

  kijana15 JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 640
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  maelezo namba 2, yanawashinda wanawake wengi. Lol
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wengine wakiona shepu tu inatosha....lol hawahitaji sifa zingine

  [​IMG]
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  mpododo kwanza.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Na mwanamme aweje?

  Mwanamke awe na sifa zote hizo afu aangukie kwa marioo bora kuwa kilaza tu.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mwanamme pesa dushelele hata chizi analo.
   
 8. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mvumilivu, mwaminifu na mwenye mapenz ya dhati, kuwapenda na kuwaheshmu ndg wa mume kama wa kwake ni muhimu, teh nyama ya ulimi pia inahusu
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hapo umenena Kongosho wangu.......tunaolewa na wanaume wenye bahati zao bana........

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo yote yanawezekana kwa mwanamke kuwa nayo .ila hakuna mkamilifu ,unaweza muona ana sifa zote ila maybe sio mzur wa sura wala umbo.. sasa vip ana faa au hafai sifa 5 hazijakamilika? na nyinyi men wa saiv huwa mtu akawa anatenda hayo yote ili kuwin penzi na kukutuliza bwana wake ila ana endup kuwa **** na just freak shit muna muona mshamba , na muna sababisha changes ya mwanamke kuwa vyengine sasa.
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  inategemeana sana, zipo zile za msingi hizi ni secondary behaviours, bado hujataja primary
   
 12. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  The boss hii ni man made au God's made?
   
 13. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  hahaha hii ni muafaka kwa wanaume wanao-prefer hit and run
   
 14. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  wahida urembo wa sura sio kigezo kikubwa sanaaa na ndio maana katika namba 5 hapo imeelezwa kuwa unadhifu wa mwanamke unatosha sana. next time nitaleta sifa za mwanaume bora tuzijadili pia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  hebu tupe hizo primary mbili ama tatu hivi kwa uchache
   
 16. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni china med.
   
 17. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  hahahahaha hasa kwa mwanamke aliyekaa kibiashara zaidi
   
 18. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kongosho nitakuja in few days na sifa za mwanaume kamili na bora
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  namba 5 imekaa kimtazamo zaid,,,,,kila mtu ana mtazamo wake juu ya hilo,,,,,,,,namba 1 napo pana utata sana,,,,,,ila namba 3 wanaume wengi ndo HUTUKIMBIZA,,,,maana wao hutufanya atm,,,lakin namba moja imekaa kimakundi sana,,,mambo ya kuigana na pia mambo ya utandawaz,,,,haya mambo wanayo wanawake wasomi,na wasiosoma
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  lete leo hii hii,,,ndo wakat muafaka,,,unaweza kuzieleza hapa then tuendelee kuzijadil
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...