instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Kwani KAZI ya serikali ni nini?Turudi kwenye uhalisia. Hao wasomi wa Kagera wameleta mabadiliko gani kwenye jamii ya watanzania ?
tukiachana na huu utaratibu wa kujimwambafy kwamba wao wamesoma.
Kwani siku hiz kuna utawala wa majimbo.
Si fedha zinatoka serikalini ndo zinajenga miundombinu husika.
Anyway Kwa makazi binafsi ya watu yaani nyumba za kuishi Kagera haina mpinzani tz