Sifa kubwa ya mwanamke mdangaji

Muda wowote kuna mgonjwa hospital na mara nyingi haponi.
Kama kaugulia Mwanza, basi mazishi yatakuwa Dar, Chuga au Lindi!
 
Na yeye mwenyewe anaweza akaugua saa yoyote ile na asikwambie ila dawa lazima akwambie. Omba kadi ya hospitali, utaambulia block
 
Mimi nina experience ya kula wadangaji at very Low cost au sometime completely free dawa ya mdangaji ni kupunguza pupa ya kutaka papa na kumpa ahadi kibao ukihakikisha hapigi mizinga ila offer kama beer anapata
 
Kaka offer peke yake haitoshi kumkamata mdangaji. Mara nyingi wanataka wafanyiwe jambo fulani kubwa mfano iphone X. Kwa upande wa bear kuna mdau wangu kashanywesha sana na hata busu hajapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom