Sifa kubwa ya ma dikteta wote ni hii hapa

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,009
sifa kubwa ya madikteta ni kutopenda kukosolewa na kusikiliza mawazo mbadala hivyo hutumia nguvu nyingi ku crackdown opponents haswa wale wanaoonekana wana akili,pia madikteta hupenda sana wajinga ambao kamwe hawawezi isha dunia hii
Ila siku ya mwisho wakimaliza kunyanyasa opponents huwa wanaanza kunyanyasa hadi wale wajinga wao waliokuwa wana support kwa kifupi huwa ma dikteta wanajiona miungu watu an wengine ni vitakataka fulani
Nakupa kakionjo chamovie iitwayo THE DICTATOR ya Sacha cohen a.k.a Ali G,hii ipo kwenye opening scene sina haja ya kuelezea sana inajieleza jinsi dikteta asivyopenda ushindani yeye anataka ashinde kwa hila ikibidi hata kuua.
 
Kwani Africa Mashariki kuna Dikteta, au umetupa angalizo la sifa za Dikteta, ili hata huko miaka ya mbeleni ikitokea hata hapa kwetu Tz mtu mwenye sifa kama hizo, basi tutajua ndiye.
 
Naunga mkono madikteta wanapenda sana wajinga na masikini,hapa kwetu unaweza ona kipaumbele cha mkulu ni viwanda badala ya elimu.kwa maana hataki kuona watu wakielimika ili nchi iwe kwenye Giza nayy aendelee kuhadaa watu.Masikini kwann ? hataki kuona sekta binafsi zikichangia ktk taifa hasa kwenye kutoa ajira.kwasababu anaona watu wengi watakuwa na confidence ya kujiamulia mambo yao wenyewe.Fikra zake ni mfu.Anataka serikal peke yake ndio iwe na power ili a dictate watu vizuri.
 
Kavideo kanachekesha na kusikitisha at the same time, ila kana ukweli
 
sifa kubwa ya madikteta ni kutopenda kukosolewa na kusikiliza mawazo mbadala hivyo hutumia nguvu nyingi ku crackdown opponents haswa wale wanaoonekana wana akili,pia madikteta hupenda sana wajinga ambao kamwe hawawezi isha dunia hii
Ila siku ya mwisho wakimaliza kunyanyasa opponents huwa wanaanza kunyanyasa hadi wale wajinga wao waliokuwa wana support kwa kifupi huwa ma dikteta wanajiona miungu watu an wengine ni vitakataka fulani
Nakupa kakionjo chamovie iitwayo THE DICTATOR ya Sacha cohen a.k.a Ali G,hii ipo kwenye opening scene sina haja ya kuelezea sana inajieleza jinsi dikteta asivyopenda ushindani yeye anataka ashinde kwa hila ikibidi hata kuua.

Naona Watanzania wengi hatujui maana ya udikteta,chanzo chake,sifa zake kwahiyo namsihi Raisi wa nchi amwagize Waziri wa Elimu(Ndalichako) aweke huo mtaala kuanzia vidudu mpaka Chuo kikuu watu wafundishwe udikteta;
Chanzo chake na faida zake dhidi ya hasara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom