ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,010
sifa kubwa ya madikteta ni kutopenda kukosolewa na kusikiliza mawazo mbadala hivyo hutumia nguvu nyingi ku crackdown opponents haswa wale wanaoonekana wana akili,pia madikteta hupenda sana wajinga ambao kamwe hawawezi isha dunia hii
Ila siku ya mwisho wakimaliza kunyanyasa opponents huwa wanaanza kunyanyasa hadi wale wajinga wao waliokuwa wana support kwa kifupi huwa ma dikteta wanajiona miungu watu an wengine ni vitakataka fulani
Nakupa kakionjo chamovie iitwayo THE DICTATOR ya Sacha cohen a.k.a Ali G,hii ipo kwenye opening scene sina haja ya kuelezea sana inajieleza jinsi dikteta asivyopenda ushindani yeye anataka ashinde kwa hila ikibidi hata kuua.