Sifa inayohitajika kwa Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ni zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa inayohitajika kwa Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ni zipi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mmaroroi, Feb 5, 2012.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kinahitaji Mkuu wa Chuo baada ya aliyekuwepo kumaliza muda wake 05/01/2012. Sheria inaruhusu Mkuu wa Chuo aliyemaliza muda wake kuteuliwa tena ingawa ameomba tena hata hivyo amekuwa akiumwa mara kwa mara. Kwa wadau mnaoifahamu Chuo hicho kinahitaji Mkuu wa Chuo mwenye sifa zipi? Ushauri wenu utasaidia mamlaka ya uteuzi kuzingatia hoja zenu.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Sifa mojawapo...awe kada wa chama tawala(sidhani kama hiyo sifa imeshatolewa)...mengine ni taaluma zaidi....wenye nayo wayamwage hapa tujifunze!!
   
 3. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Umenena Mkuu kwa kuwa Vyuo vingi hapa Nchini vinaongozwa na wakuu Makada wa Chama tawala wakati vyuo si vya Chama. Hii inaweza kuwa sababu inayorudisha nyuma elimu yetu ya vyuo vikuu kwa kuingiza siasa zaidi kuliko ujuzi wa kitaaluma.
   
 4. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani aliyepo aliajiriwa kwa vigezo vipi?
   
 5. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sifa mojawapo ni Ukada wa Chama Tawala tangu CCM Kivukoni.
   
 6. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  mAGOTI NI KADA ALIYEBOBEA KATIKA CHAMA.HIYO NI SIFA NAMBA MOJA KWA YEYOTE ANAYETAKA KUWANIA NAFASI HIYO.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndetichia like this
   
Loading...