Sifa Gani JK alitumia kumteua Mama Lwakatare kuwa Mbunge??

Pamoja na mapungufu yake, Mama Lwakatare ni taasisi. Hivyo ilikuwa ni muhimu sana kumteua kisiasa kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
 
KWELI MUNGU AMEMWEKA JUU:lol::lol::lol:,,,,,,, MPAKA ANASEMA HIVI..........haya wote semeni mbayaaaaaaaa mbayaaaa.wale wenye laki 2 mstari huu,laki huku alfu hasini huku,wale wa alfu kumi huku,walio na chini ya alfu kumi leteni pochi zenu niziombeeeeee ili roho wa umaskini awatokeeeee kwa jina laaaaaaaaa jina laaaa alie huko juuu toka toka pepo toka tokaaaaaaaa haya semeni bayaaaa.

hahaha kama mungu ndio anawasikiliza watumish hawa huyo mungu simtaki.
 
ana pesa, ni fisadi ana sifa za kuwa kiongoz wa chama cha mafisadi!
 
Sio mbunge wa kuteuliwa na rais, ni mbunge wa viti maalum viti ambavyo upatikanaje wake kwenye vyama vyote umekaa kihisani hisani zaidi.
 
Sio mbunge wa kuteuliwa na rais, ni mbunge wa viti maalum viti ambavyo upatikanaje wake kwenye vyama vyote umekaa kihisani hisani zaidi.

Alianzia na ubunge wa kuteuliwa, ailioupata kama mwaka mmoja before uchaguzi mkuu wa 2010; ubunge huo ndio ukampa platform ya kwenda kutafuta nafasi hiyo lakini sasa kupitia viti maalum.
 
Alianzia na ubunge wa kuteuliwa, ailioupata kama mwaka mmoja before uchaguzi mkuu wa 2010; ubunge huo ndio ukampa platform ya kwenda kutafuta nafasi hiyo lakini sasa kupitia viti maalum.

Sina uhakika sana nadhani alipata ubunge kupitia kapu la viti maalum CCM baada ya kufariki Salome Mbatia njia kama ambayo imetumika kuziba nafasi ya ubunge ilioachwa wazi na marehemu Regia Mtema.
 
Mwanzisha thread anapaswa kubadili kichwa cha habari,Rwakatale hajawahi kuwa mbunge wa uteuzi wa Rais,huyu aliingia bungeni kupitia special seats za akina mama wa chama cha CCM.
 
angekuwa hapa yule mbunge wa mwanza alieanzisha community angekujibu vizuri maana nayeye alichaguliwa uwaziri baada ya kutoa million 350 kwenye kampeni so huyu mbunge atakuwa kwenye million 100-150 mpwa ametoa nyingi sana
 
hahaha kama mungu ndio anawasikiliza watumish hawa huyo mungu simtaki.

mkuu ameacha hiyo naomba nimtteteee na nakumbuka niliileta hiyo complain hapa baada ya kunikuta kwa mh yule wa RIVER SIDE JUMAPILI MOJA AKASIMAMA NA WATU KAMA WAWILI MBELE YAKE NAANZA NAO KUWASHIKA MKONO NDIO NAMSHIKA JAMAA WAKATI WA KUTOA ZAKA..NILIPOFIKA ....NIKASHIKA ALFU TANO JAMAA WA KWANZA AKANISOGEZA PEMBENI KABISA NIKASHANGAA WENGINE WANAMWONYESHA KWANZA JAMAA HELA NDIO WANARUHUSIWA KUMSHIKA ASKOFU LUSEKELO..NIILUKUWA HOI MPWA..NKATOKA NIKACHENCHI 500 KUMI NIKAGAWA KWA MASKINI WA BARABARANII.WIKI INAYOFATA NIKAENDA KUSALI KWA MAZA NIKAKUTANA NA HAYO WENYE MIILL ,,WENYE LAKI ..SIO HUKU NA KULE MNAKUJA KWA AWAMU KUTOKANA NA UWEZO NAFIKIRI HII KITU AMEELEKEZWA AIPO NA SASA WATU WANASIMAMA MBELE WANATOA KWENYE VIDUBWASHA VYA SADAKA,,NAOMBA NITTEE HILI
 
KWELI MUNGU AMEMWEKA JUU:lol::lol::lol:,,,,,,, MPAKA ANASEMA HIVI..........haya wote semeni mbayaaaaaaaa mbayaaaa.wale wenye laki 2 mstari huu,laki huku alfu hasini huku,wale wa alfu kumi huku,walio na chini ya alfu kumi leteni pochi zenu niziombeeeeee ili roho wa umaskini awatokeeeee kwa jina laaaaaaaaa jina laaaa alie huko juuu toka toka pepo toka tokaaaaaaaa haya semeni bayaaaa.

bila shaka huyu atakuwa mungu wa masaburi na tumbo.
 
alichoangaliya jk ni kuwa getrude lwakatare ana mass support hivyo walichokuw wanataka ccm ni kuwapata waumini au watu wengi kwa kupitia lwakatare wakaona njia mmojawapo ni kumtuliza yeye lwakatare kwa kumpa ubunge wa viti maalum ili waweze kuwin mass support kwa kupitiya kwake.
 
Kwani kwa sifa zake chafu Rwakatare ana tofauti gani na Kikwete mwenyewe ingawa hakumteua isipokuwa chama chake? Rwakatare ni bingwa wa kuchukua totoz za kiume. Anauza unga hili siyo siri. Ni nung'aembe kama Makinda. Ni kihiyo mwenye PhD ya heshima, ni mbabaishaji wa kawaida, ni pimbi, ni mluguru, ni msanii, anapenda sifa za dezo na chee, ni mwoga kukabiliana na maadui zake, ni hovyo kama Jk kwa yote. AAaaaamin
 
Nani kakwambia Tanzania kupata uongozi ni lazima kuwa na sifa? Huyo Kikwete mwenyewe hajakuwa rais kwa sifa, sasa utategemea vipi mbunge awe mbunge kwa sifa?
 
Back
Top Bottom