- Thread starter
- #41
Mmh! Unajipa moyo kwa idadi feki za duplications za wana fc lumumba?? Mitandaoni tunaongoza, mitaani ndio usipime. Mnaishia kusema ooh wapinzani wa mitandaoni.Aangalia tu idadi ya comments na views za mada zinazuhusu Lisu utagundua kuwa chadema iko Death bed.Angalia hata hii tu