Sierra Leone yasitisha mpango wa kujenga Uwanja wa Ndege wa kisasa uliokuwa ufadhiriwe na China

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Serikali ya Sierra Leone imesitisha mpango wa kujenga uwanja wa ndege nje ya Mji Mkuu Freetown

Ujenzi huo ungegharimu kiasi cha dola milioni 318 ambazo zingetokana na mkopo wa Serikali ya China

Kwa mujibu wa Serikali ya nchi hiyo imesema kuwa haioni ulazima wa kujenga uwanja mpya wakati uliopo kwasasa bado haujatumika ipasavyo

Hata hivyo wachambuzi wa mambo wanasema kuwa huenda Serikali ya Sierra Leone imeogopa kuzama kwenye madeni ya China

=======

Hong Kong (CNN)Sierra Leone has nixed plans to build a controversial, $318 million airport outside the capital of Freetown with a Chinese company and funded by Chinese loans.

The mega project, which was due to be completed in 2022, had been commissioned by the previous president Ernest Bai Koroma in March this year.

Its cancellation comes amid cooling enthusiasm in both Pakistan and Malaysia for Chinese loans backing large-scale infrastructure projects in recent months. But Sierra Leone's decision is the first time an African government has canceled an already announced, major China-backed deal.

"After serious consideration and diligence, it is the Government's view that (it) is uneconomical to proceed with the construction of the new airport when the existing one is grossly under utilized," said a letter from the country's Minister of Transport and Aviation to the project's director, published in local media.


View this interactive content on CNN.com
Speaking to the BBC on Wednesday, Sierra Leone's Aviation Minister Kabineh Kallon said the current airport would be renovated instead.

"I do have the right to take the best decision for the country," he said. It's unclear if there are any financial penalties associated with canceling the deal.

Foreign Ministry spokesman Lu Kang told reporters Thursday the cancellation didn't indicate any rift between China and Sierra Leone, claiming the project had only been in an exploratory phase.

"When cooperating with African countries that include Sierra Leone, China has always adhered to the principles of equality-based consultations and win-win cooperation," the spokesman said.

"I don't think this particular project should be overblown as an indication of problems between the Chinese and Sierra Leone governments."
 
angalau wameanza kuwaza kwa kutumia vichwa tofauti na wenzao ambao kuna viwanja vikubwa bado havijawa full utilized kwa sababu ya light investment ila cha kushangaza vinajengwa vipya ambavyo wachambuzi wanadai vinaweza kugeuka malisho ya mifugo.

hii inaenda kwenye

bandari vile vile
viwanja vya mpira vilevile
 
Good they pulled up before it got worse. But do they have other options available?
(it) is uneconomical to proceed with the construction of the new airport when the existing one is grossly under utilized," said a letter from the country's Minister of Transport and Aviation to the project's director, published in local media.

watajikita kuboresha vilivyopo kwanza ili wavi utilize kuliko kupoteza mabilioni kwenye mega project kama hizo.
gesi vs stiglazgoj#
 
Mwandishi ameyumba, amesahau Magu pia alikataa deal la wachina! Kwa hiyo hao ni wapili siyo wa kwanza.
 
Wachina wamerudi vibaya,, ni ukoloni mamboleo kwa kwenda front

Ni kutawala watu kiuchumi tu dadeki
 
Safi sana viongozi kwa kuzikataa hizi hela za magumashi kutoka Uchina
Nalog off
 
China ni "Wakora" sana linapokuja swala la pesa wameshaingiza mataifa mengi ya kiafrika mkenge.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom