Sielewi neno Utakatishaji

mjitabulinga

Member
Sep 14, 2019
54
64
Jamani waungwana naomba msaada wa kujua ili neno itakatishaji,maana hivi karibuni nasikia neno utakatishaji, Je nifedha feki au?
 
kutakatisha fedha maana yake ni kuchukua fedha sehemu ambayo pengine umeipata
kwa biashara haram na kuiweka katika mazingira ionekane ya halali
mfano unauza madawa ya kulevya ukapata milioni 100
sasa hata ukipeleka bank utasema una biashara gani?

sasa hapo ndo unakuwa na biashara halali mfano Bar na unapeleka pesa
bank ukisema hizo hela ni za biashara yako ya bar...
au mtu kaiba hela....unaichukua unanunua beer za hapo bar na kuuza na kuizungusha ile hela..inaingia mzunguko wa biashara ingine ya halali na ukiipeleka bank
utakuwa unapeleka hela kutoka bar sio za madawa au za wizi..
ndo umetakatisha
 
Mjadala umefungwa Mkuu...!
Sioni la kuongeza, tumepata jibu lenye mifano halisi....
 
Kudos The boss

Jawabu likiambatana na mfano utaongezewa maksi 5....mitihani yetu ya enzi za mwalimu.
 
Kwani kazi ya benki ni kuuliza MTU pesa umepata wapi?
Inategemeana na kiwango cha pesa ambacho umeweka. Wakati wa kufungua account makadirio ya kipato chako kwa mwaka ulisema mfano 36,000,000/= kwa maana ya wastani wa 3m kwa mwezi hapo bado unamatumizi mengine.
Sasa siku hiyo umepiga pesa mfano 500m unaenda kuziweka Bank hapo lazima uulizwe chanzo cha hiyo pesa.
Nijuavyo mimi.
 
Jawabu likiambatana na mfano utaongezewa maksi 5....mitihani yetu ya enzi za mwalimu.
Hahahah dah! Nimekumbuka mbali kinoma mwaka wetu sisi tunamaliza sisi paper la Geography section B section ambayo inahusu focal studies kama vile Fishing in Norway,maize production in USA,automobile industries in GERMANY na mengineyo..sasa wakajitela wakaleta maize production in USA aisee wasichokifahamu marekani yote nilikua nimeimeza kichwani na sijawahi kufika hata siku moja kwa kipindi hicho..mifano niliyowatolea aisee pamoja na ramani juu kwenye intro nikalocate maize belt,pamoja na kutaja miji ya marekani,Tani zinazozalishwa,wafanyabiashara wakubwa,mchango wa sector hiyo kwenye uchumi dah nikapata grade nzuri sana Geography grade ambayo ni nadra sana kupatikana EGM yangu ikaenda murua kabisa..miaka michache iliyofuatia nilishika vile vitabu vunavyokusanyaga mitihani ya miaka yote(nimesahau jina) kama utani niliona swali hilo likiwa na majibu 70% yanayofanana na yangu
 
Inategemeana na kiwango cha pesa ambacho umeweka. Wakati wa kufungua account makadirio ya kipato chako kwa mwaka ulisema mfano 36,000,000/= kwa maana ya wastani wa 3m kwa mwezi hapo bado unamatumizi mengine.
Sasa siku hiyo umepiga pesa mfano 500m unaenda kuziweka Bank hapo lazima uulizwe chanzo cha hiyo pesa.
Nijuavyo mimi.
Sidhani kama ni sahihi.Mtu anayeweka pesa benki kwangu naona kama Mtu mzuri mbaya ni Yule anayeficha hizo milionii Mia tano nyumbani.Huyo wa nyumbani ndie mbaya.Enzi za Sokoine serikali ilikuwa ikiwinda watu wakaa na pesa nyumbani ili wapeleke benki.Hivyo vimaswali vyaweza ogofya watu wakaamua kukaa na pesa nyumbani benki zikajikuta tupu hazina depositors .
 
Nimekuelewa vyema
kutakatisha fedha maana yake ni kuchukua fedha sehemu ambayo pengine umeipata
kwa biashara haram na kuiweka katika mazingira ionekane ya halali
mfano unauza madawa ya kulevya ukapata milioni 100
sasa hata ukipeleka bank utasema una biashara gani?

sasa hapo ndo unakuwa na biashara halali mfano Bar na unapeleka pesa
bank ukisema hizo hela ni za biashara yako ya bar...
au mtu kaiba hela....unaichukua unanunua beer za hapo bar na kuuza na kuizungusha ile hela..inaingia mzunguko wa biashara ingine ya halali na ukiipeleka bank
utakuwa unapeleka hela kutoka bar sio za madawa au za wizi..
ndo umetakatisha
 
kutakatisha fedha maana yake ni kuchukua fedha sehemu ambayo pengine umeipata
kwa biashara haram na kuiweka katika mazingira ionekane ya halali
mfano unauza madawa ya kulevya ukapata milioni 100
sasa hata ukipeleka bank utasema una biashara gani?

sasa hapo ndo unakuwa na biashara halali mfano Bar na unapeleka pesa
bank ukisema hizo hela ni za biashara yako ya bar...
au mtu kaiba hela....unaichukua unanunua beer za hapo bar na kuuza na kuizungusha ile hela..inaingia mzunguko wa biashara ingine ya halali na ukiipeleka bank
utakuwa unapeleka hela kutoka bar sio za madawa au za wizi..
ndo umetakatisha
Umejibu vizuri le boss
 
Inategemeana na kiwango cha pesa ambacho umeweka. Wakati wa kufungua account makadirio ya kipato chako kwa mwaka ulisema mfano 36,000,000/= kwa maana ya wastani wa 3m kwa mwezi hapo bado unamatumizi mengine.
Sasa siku hiyo umepiga pesa mfano 500m unaenda kuziweka Bank hapo lazima uulizwe chanzo cha hiyo pesa.
Nijuavyo mimi.
Umejibu vizuri ...mimi napitia majibu na kupitisha tiki,ukiona nimeweka tiki ujue jibu limejitosheleza
 
Sidhani kama ni sahihi.Mtu anayeweka pesa benki kwangu naona kama Mtu mzuri mbaya ni Yule anayeficha hizo milionii Mia tano nyumbani.Huyo wa nyumbani ndie mbaya.Enzi za Sokoine serikali ilikuwa ikiwinda watu wakaa na pesa nyumbani ili wapeleke benki.Hivyo vimaswali vyaweza ogofya watu wakaamua kukaa na pesa nyumbani benki zikajikuta tupu hazina depositors .
Kama bado hujamwelewa jamaa ivi!?
 
kutakatisha fedha maana yake ni kuchukua fedha sehemu ambayo pengine umeipata
kwa biashara haram na kuiweka katika mazingira ionekane ya halali
mfano unauza madawa ya kulevya ukapata milioni 100
sasa hata ukipeleka bank utasema una biashara gani?

sasa hapo ndo unakuwa na biashara halali mfano Bar na unapeleka pesa
bank ukisema hizo hela ni za biashara yako ya bar...
au mtu kaiba hela....unaichukua unanunua beer za hapo bar na kuuza na kuizungusha ile hela..inaingia mzunguko wa biashara ingine ya halali na ukiipeleka bank
utakuwa unapeleka hela kutoka bar sio za madawa au za wizi..
ndo umetakatisha
umemaliza kaka mkubwa
 
Sidhani kama ni sahihi.Mtu anayeweka pesa benki kwangu naona kama Mtu mzuri mbaya ni Yule anayeficha hizo milionii Mia tano nyumbani.Huyo wa nyumbani ndie mbaya.Enzi za Sokoine serikali ilikuwa ikiwinda watu wakaa na pesa nyumbani ili wapeleke benki.Hivyo vimaswali vyaweza ogofya watu wakaamua kukaa na pesa nyumbani benki zikajikuta tupu hazina depositors .
Jikite kwenye swali...upo nje ya swali
 
Unaweza ukawa na majibu lakini ukaweka majibu yako kwenye swali sio sahihi, jifunze kuelewa mambo
 
Jikite kwenye swali...upo nje ya swali
Nikujibu kivipi kwa public sector point of view ya vikarani desk officers wa serikali wasiojua kuzalisha pesa za kigeni ambao kazi yao KU consume tu pesa za kigeni na kutengeneza sheria na takwimu za fedha za kigeni au nikujibu kwa mujibu wa private sector ambao Ni wazalishaji wa pesa za kigeni ?
 
kutakatisha fedha maana yake ni kuchukua fedha sehemu ambayo pengine umeipata
kwa biashara haram na kuiweka katika mazingira ionekane ya halali
mfano unauza madawa ya kulevya ukapata milioni 100
sasa hata ukipeleka bank utasema una biashara gani?

sasa hapo ndo unakuwa na biashara halali mfano Bar na unapeleka pesa
bank ukisema hizo hela ni za biashara yako ya bar...
au mtu kaiba hela....unaichukua unanunua beer za hapo bar na kuuza na kuizungusha ile hela..inaingia mzunguko wa biashara ingine ya halali na ukiipeleka bank
utakuwa unapeleka hela kutoka bar sio za madawa au za wizi..
ndo umetakatisha

Natumae mleta mada utakua ushapata muongozo...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom