Sielewi Kwanini Wamwite Ronaldo Goal Machine!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,651
Ndugu Zangu wapenda soka Naombeni Mnijuze Kwanini Huyu Ronaldo wanamwita Goal Machine?

Huu si uongo wa wazi wazi kabisa maana ukiangalia Messi ana Scoring Ratio Kubwa Kuliko CR7

ca1fcbbd3cb9451ea7d434e31fdeb261500x500.jpg


Lionel Messi is just 9 goals behind Cristiano Ronaldo despite having played 100 games less
 
Nazani labda ni kutokana na position wanazocheza labda, I'm not sure.
 
Huwezi mpinganisha ronaldo na messi... Messi anabebwa na timu ronaldo anabeba timu.... Messi hajathubutu kutoka nje ya barca... Ronaldo kaanzia ligi ngumu kuliko zote dunian na bado akafanya maajabu!!

Messi akienda ligi ya uingereza hata welbek atampita kwa magoli!!

Ronaldo sio wa dunia hii... Mfananishe na aliens...
 
Messi kabla hajaletwa suarez alikua anachezeshwa kama namba 9...ronaldo muda wote amekua akicheza kama winga... Kama unajua mpira utaelewa namaanisha nn!!

Ronaldo angekua anacheza nafasi ya messi basi angekua na goli 1500+...
Messi angelikuwa anachezea nafasi ya cr7..ninauhakika angefikisha magoli 800.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom