HB.com
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 607
- 638
Habari za humu wana jamvi, moja kwa moja niende kwenye maada.
Kama kichwa cha habari kinavyo, jieleza, soma kisha nipe msaada wako
nimekuwa mtu ambaye sielewi kwanini nakuwa hivi hususani kwenye mambo ya mahusiano ninaweza nikatokea kumpenda mwanamke nikamtongoza akanikubalia mpaka tukafikia hatua ya kusex ila tatizo ni moja tu nikishasex basi mapenzi yangu kwake yanaisha hapo hapo nakuwa siwezi hata kumpigia simu tena nakuwa sina muda nae tena siwezi kukaa kwenye mahusiano zaidi ya mwezi,